Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa

Kwa kweli uto vichwa sijui huwa vinawaza nn
Mbu MBU MBU......mjifunze jinsi ya kushinda ugenini
 
Akili za masai koko!!

Utopolo wenye akili ni wawili tu!!
Kile kilichofanywa na Simba 2020 mbele ya Al Ahyl, As Vita na Al Merrekh na kumaliza kundi ikiongoza wanautopolo mmekisahau?

Hebu tuambie simba iliongoza kundi ikiwa na point ngapi?
 
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa

Kwa kweli uto vichwa sijui huwa vinawaza nn
Utofauti uliopo Sisi Yanga na wengine timu Pinzani kufungwa bila kupuliza madawa vyumbani, kuhonga marefa, kufanya mambo ya kishirikina Hadharani na kupelekea kupigwa faini na mamlaka za soka Africa.
Yaani soka saaafi, una enjoy alafu Wala haturingi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna timu ina point 9 tu tayari iko robo final tena ligi ya mabingwa, ukiachana na hii ligi ya washirikishwa
Hizo points kazipata Kwa timu Gani

a) Dhaifu ?
b) dhaifu kidogo?
c) Dhaifu sana?
 
Akili za masai koko!!

Utopolo wenye akili ni wawili tu!!
Kile kilichofanywa na Simba 2020 mbele ya Al Ahyl, As Vita na Al Merrekh na kumaliza kundi ikiongoza wanautopolo mmekisahau?

Hebu tuambie simba iliongoza kundi ikiwa na point ngapi?
Mlimaliza Kwa point ngapi
 
Tofauti nyingine. ....Yanga anapiga Hadi ugenini
 
Yaan timu ziko champion ligi unaziita dhaifu? Timu zinakwenda kucheza super ligi ziwe dhaifu raja simba horoya... manara anasema wenye akili ni 2 tu huko...
Dhaifu ni washirikishwa
Sasa Raja mmefunga lini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…