Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Record Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]

Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa [emoji122][emoji122]

Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wetu,mmeletea heshma mpya katika
football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa na Sisi ndio Wananchi". Umoja wa wachambuzi TZ

Baada ya makolo kuliaibisha taifa ....hatimaye .Yanga waliokoa taifa

NB: mkinuna .....naleta ushaidi View attachment 2574237
@Labani og hawa ndio washamba WA ball na wapiga kelele anaona points 13 kama kioja .

Wakuja

Simba kashaongoza grupo Lina Al ahly
Na kaondoka na point 13.
 
Naomba kuuliza hizo point 13 za simba ni michuano hii qu ile iliopita? Na kama ni michuano hii kwann yanga waseme haijawahi tokea wakati simba wapo michuano ya juu zaidi ya yanga au mimi nisiejua mpira nachanganya mafaili
Ubora wa timu
 
@Labani og hawa ndio washamba WA ball na wapiga kelele anaona points 13 kama kioja .

Wakuja

Simba kashaongoza grupo Lina Al ahly
Na kaondoka na point 13.
[emoji23][emoji23]
 
Record Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]

Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa [emoji122][emoji122]

Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wetu,mmeletea heshma mpya katika
football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa na Sisi ndio Wananchi". Umoja wa wachambuzi TZ

Baada ya makolo kuliaibisha taifa ....hatimaye .Yanga waliokoa taifa

NB: mkinuna .....naleta ushaidi View attachment 2574237
Wenzako walishawahifikisha hizo point, katika mashindano ya kilabu bingwa na sio shirikisho kama unavyojinadi.
 
Back
Top Bottom