Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Kuna jinga linajifanya shabiki wa Yanga na limekumbatiwa na viongozi kazi yake kuichafua tu timu kwa hoja zake za kipuuzi.......hilo shabiki la mikia lirudi tu kwao
Ndo Nani huyo ...
 
Kuna mtu yupo champions....ila kapita Kwa kuwafunga wabovu ....[emoji23][emoji23]
Vipers si unawajua lakini au umewasahau.😅
images (3).jpeg

Champions akuna mbovu wabovu wote walitupwa kwa maluza kule😅😂
 
Bora sisi kwa mamelod, nyie Al hilal aliwafurushaa km paka mwizi jikoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna hamu na CL uwiiiih
Mkuu ...Al hilal ya ibenge ni hatare....mngekula hata 5
 
Back
Top Bottom