Vita Club alifungwa akiwa wapi?Kishimundu?Ndio tabu ya mashabiki wa mkumbo.Tofauti nyingine. ....Yanga anapiga Hadi ugenini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita Club alifungwa akiwa wapi?Kishimundu?Ndio tabu ya mashabiki wa mkumbo.Tofauti nyingine. ....Yanga anapiga Hadi ugenini
Jamaa huwa mnalazimisha furaha sana aisee unaleta habari za mwaka jana tena.. hizo timu ulizotaja hapo ni simba tu ipo CL na pyramid mnayo huko kwenye washirikishwa pirate na berkane sijui wako wapi?. Kwani yanga si walikuwa ligi ya mabigwa ilikuwaje mkaenda ligi shirikishwaShikiriko kuna mwaka kunakuwaga kwa moto kama champions league tu. Mwaka huu shirikisho imejaa timu dhaifu sana. Mwaka jana huko kulikuwa na vigogo kama Simba, Pirates, Berkane, Pyramids.
Msilisahau hilo.
Mbona kama umechanganya mafailJamaa huwa mnalazimisha furaha sana aisee unaleta habari za mwaka jana tena.. hizo timu ulizotaja hapo ni simba tu ipo CL na pyramid mnayo huko kwenye washirikishwa pirate na berkane sijui wako wapi?. Kwani yanga si walikuwa ligi ya mabigwa ilikuwaje mkaenda ligi shirikishwa
Yapi hayo mzeeMbona kama umechanganya mafail
Yaani kuifunga TP Mazembe nayo ni rekodi? Basi usisahau pia katika ligi ya Congo, kuna timu kibao zimeweka 'rekodi' hiyoRECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani nje kwenye michuano ya CAF
2021, Mamelod Sundowns, Afrika Kusini
2023, US Monastri, Tunisia
2023,
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah wamekuumbua na mavi makalioni.Huna cha kujibu.Ndio tabu ya unyumbu kutochuja habari unazosikia.Zeruzeru kaandika jamaa kakurupuka kadhani ni kweli.Au pia ndio madhara ya kuanza ushabiki mwaka huu. Mashabiki wa mkumbo.
Mkuu...Simba ni kigogo???Jamaa huwa mnalazimisha furaha sana aisee unaleta habari za mwaka jana tena.. hizo timu ulizotaja hapo ni simba tu ipo CL na pyramid mnayo huko kwenye washirikishwa pirate na berkane sijui wako wapi?. Kwani yanga si walikuwa ligi ya mabigwa ilikuwaje mkaenda ligi shirikishwa
MAKOLO mlipigwa 4 na mazembeYaani kuifunga TP Mazembe nayo ni rekodi? Basi usisahau pia katika ligi ya Congo, kuna timu kibao zimeweka 'rekodi' hiyo
View attachment 2574870
Vipers si ni maiti,aya uyu hapa sasaPale mlipiga bomu mochwali
Mna memory ndogo sanaRecord Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani
RECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani nje kwenye michuano ya CAF
2021, Mamelod Sundowns, Afrika Kusini
2023, US Monastri, Tunisia
2023, Yanga Africans, Tanzania. Na kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa [emoji122][emoji122]
Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wetu,mmeletea heshma mpya katika
football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa na Sisi ndio Wananchi". Umoja wa wachambuzi TZ
Baada ya makolo kuliaibisha taifa ....hatimaye .Yanga waliokoa taifa
NB: mkinuna .....naleta ushaidi View attachment 2574237
Lile jina Utopolo limetoholewa kutoka neno Utopia.Uto huwa wanaishi kwenye dunia ya kwao peke yao!!
Akisema chochote yule zeruzeru wao wanakimeza hivyo hivyo.Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa![]()
![]()
Kwa kweli uto vichwa sijui huwa vinawaza nn
Currently sisi tuko Champions League nyie mko Loosers cup hakuna ulinganisho hapo, period.Unaongelea historia....sisi tupo current
Home of Loosers to be precise.Karibu jangwani mkuu....home of legends
Or Great LoosersKweli kabisa, ni "Great sinkers".