XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Manara anazidi kuthibitisha ile kauli yakeWana akili basi hao bloangu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara anazidi kuthibitisha ile kauli yakeWana akili basi hao bloangu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mashindano ya kombe la mbuzi,, kundi ambalo hata Namungo angeongozaHii ni CAF Champions League.
Mleta uzi atuambie yeye timu yake imefikisha points hizo katika mashindano gani?
@Labani og hawa ndio washamba WA ball na wapiga kelele anaona points 13 kama kioja .Record Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa [emoji122][emoji122]
Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wetu,mmeletea heshma mpya katika
football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa na Sisi ndio Wananchi". Umoja wa wachambuzi TZ
Baada ya makolo kuliaibisha taifa ....hatimaye .Yanga waliokoa taifa
NB: mkinuna .....naleta ushaidi View attachment 2574237
Ubora wa timuNaomba kuuliza hizo point 13 za simba ni michuano hii qu ile iliopita? Na kama ni michuano hii kwann yanga waseme haijawahi tokea wakati simba wapo michuano ya juu zaidi ya yanga au mimi nisiejua mpira nachanganya mafaili
Kweli kabisa, ni "Great sinkers".Wananchi ni great thinkers
Wenye akili ni wawili tu, huyo hayumo kati ya hao wawili!!Una uhakika ebu rudi tena chimbo mzee
Wenzako walishawahifikisha hizo point, katika mashindano ya kilabu bingwa na sio shirikisho kama unavyojinadi.Record Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa [emoji122][emoji122]
Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wetu,mmeletea heshma mpya katika
football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa na Sisi ndio Wananchi". Umoja wa wachambuzi TZ
Baada ya makolo kuliaibisha taifa ....hatimaye .Yanga waliokoa taifa
NB: mkinuna .....naleta ushaidi View attachment 2574237
@Labani og hao wote hawajui Mpira wameanza tu kuandika wakapata platform ila hakuna kituUbora wa timu
Kama Maremu Tabu Mangara alishindwana na Utopolo ndiyo mimi nije?? Uto hampendi kabisa kumbishia huyo chawa wenu wa Injinia!!Acha kuwa kolo mkuu ...Yanga nchi ya maziwa + asali