Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Mkilite mambo ya rekodi kuna rekodi kubwa kuliko Simba kuwapiga uto sita mtungi (6-0)???

Jamaa yenu kazoea kuwadanganya ila leo kadanganya kuhusu timu ya wenye akili. Kazoe kuwadanganya timu ina mashabiki milioni tano lakini wenye akili wawili.
Makolo mmezingua......mna maliza Kwa point 9 .....Baada ya kufunga wadhaifu[emoji1][emoji1]
 
Kweli uto ni shida sasa uto alikua klabu bingwa akanyolewa Kisha akatupwa Kwa luza ss mashabiki wa vyura Wana kuja hapa kujifaliji kweli wenye akili ni bili tu uto
 
Mlimaliza Kwa point ngapi

IMG_1071.jpg

Sema mwenyewe hizo ngapi kwenye huo msimamo?
 
Kweli uto ni shida sasa uto alikua klabu bingwa akanyolewa Kisha akatupwa Kwa luza ss mashabiki wa vyura Wana kuja hapa kujifaliji kweli wenye akili ni bili tu uto
Kumfunga vipers......sisi MAKOLO tunaona tupo vizuri.....

Hikika mkikutana na mamelod mtakimbia uwanjani
 
Nacheka sana nikipitia uzi za simba na yanga endeleeni kutupa furaha na vicheko muda wote
 
Naomba kuuliza hizo point 13 za simba ni michuano hii qu ile iliopita? Na kama ni michuano hii kwann yanga waseme haijawahi tokea wakati simba wapo michuano ya juu zaidi ya yanga au mimi nisiejua mpira nachanganya mafaili
 
Back
Top Bottom