Kwani Simba alivyoongoza kundi hakushinda ugenini? Kawaulize AS VitaTofauti nyingine. ....Yanga anapiga Hadi ugenini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Simba alivyoongoza kundi hakushinda ugenini? Kawaulize AS VitaTofauti nyingine. ....Yanga anapiga Hadi ugenini
Makolo mmezingua......mna maliza Kwa point 9 .....Baada ya kufunga wadhaifu[emoji1][emoji1]Mkilite mambo ya rekodi kuna rekodi kubwa kuliko Simba kuwapiga uto sita mtungi (6-0)???
Jamaa yenu kazoea kuwadanganya ila leo kadanganya kuhusu timu ya wenye akili. Kazoe kuwadanganya timu ina mashabiki milioni tano lakini wenye akili wawili.
Hii ni CAF Champions League.Hakika mna stahili pongezi [emoji23][emoji23]View attachment 2574241
Habari ya Ashura Cheupe ina ukweli??Makolo mmezingua......mna maliza Kwa point 9 .....Baada ya kufunga wadhaifu[emoji1][emoji1]
PumbavuUnaongelea historia....sisi tupo current
Mlimaliza Kwa point ngapi
Kumfunga vipers......sisi MAKOLO tunaona tupo vizuri.....Kweli uto ni shida sasa uto alikua klabu bingwa akanyolewa Kisha akatupwa Kwa luza ss mashabiki wa vyura Wana kuja hapa kujifaliji kweli wenye akili ni bili tu uto
Ishakuwa historia!!Unaongelea historia....sisi tupo current
Wana lazimisha ukubwa [emoji23]Ninavyowajua hawa viumbe, bado wataendelea kufosi hoja yao hata baada ya kuwaumbua. Ni watu wa ajabu sana hawa.
Legends ni Mzee Manara na Kikwete tu. 😂 😂 😂 😂Karibu jangwani mkuu....home of legends
Ahh mimi najaribu kupata furaha hizi timu za bongo sitaki hata kuziskia leo unacheka kesho unachekwa hapana mm nipo neutralKaribu jangwani mkuu....home of legends
Dah! Kwa ulichoandika hapa, wewe ni wa kusikitikiwa, siyo wa kutukanwa.Unaongelea historia....sisi tupo current