Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Mpumbavu kabisa utakuwa umezaliwa mwaka JANA
 
Utopolo united kiukweli sina hakika kama hata hao wawili bado ziko sawa.

Huyohuyo z3ruz3ru miaka miwili tu imepita aliipongeza simba sc kwa kumaliza kundi ikiwa kinara kwa point 13 na faida ya magoli 7 CAFCL akifuatiwa na Al ahly, As vita na Al Merikh.

Leo anawahamasisha mshangilie record mpya? Very stupid!

Jf, hebu kuweni serious dhidi ya upotoshaji kama huu.
 
Wewe Ni kiazi mbatata.

Unaoanzisha Uzi kwa kujiamini kanisa Yan!

Duuuh! Kweli wee andazi!
 
Mangungu alisema sisi mashabiki wa makolo ni MBU MBU MBU[emoji1]
Baada ya kupata aibu unakimbia hoja yako unajitekenya na kucheka mwenyewe. Unaruka ruka km maharage kwenye sufuria.

Kwahiyo Manara akishasema uto mnabeba km gunia la msumari.

JK alishawai kusema AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
 
Akili za Mbu mbu mbu
 
Pole sana mkuu....umbu mbu mbu sio level yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…