Ni yapi madhambi makubwa?

Sawa mkuu nimekuelewa

Nafuata Ile kanuni kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
Kabisa , mi naona anaekuja na vitu lake namshukuru naendelea vema maana kuna watu hawapo tayar kupokea kitu kippa
 
Dah yani kama Kweli Mungu yupo, Hakuna anayeenda Mbinguni Walahi

Wapo mkuu ingawa WA wamotini ni wengi zaidi.

Kubwa ni kujitahidi kutenda mema na kuacha mabaya au maovu na kutubia kwake,nafasi hiyo IPO Ila pale ambapo roho inapotaka kumtoka mtu ndio mlango wa Toba umefungwa,hata mwamb Firauni baada ya kuona anazamishwa na maji akaanza kutubu lakini wazigua WA handeni Tanga wanasema "it's too late to catch the train'' kwahiyo imekula kwake
 
Anhaa...basi sawa waendelee tu kulificha..kama it benefits them haina shida.
Nadhan kuna hofu Fulani ambayo wanayo ndio maana hawaliweki Sana wazi hili jukwaa hope IPO siku wataona hawako sahihi ngoja tuwape Muda.
 
Na

jukwaa lenyewe kitu kikipostiwa unakuta viewers 15 sasa sijui wao lengo ni lip
Watakuwa wamefanya Jambo la maana Sana kama 2023 wakaweka hili jukwaa liwafikie watu wengi Sana.

Kuna watu humu ambao wanahitaji Sana kukumbushwa juu ya mafundisho Yao ya Dini zao na watu wanajifunza mengi Sana.

Na hata hii forum itapata baraka pia kama Mungu anatajwa kila wakati
 
Kwahyo ukitubu sekunde ya mwisho kabla ya kufa hauendi mbinguni?
 
all sins are the same before the eyes of God. God does not judge you if you commit sin. Because he knows its not you but the devil's nature in you.
Yaani aliyeua na aliyeiba buku wote sawa?
 
Kuuwa ndio dhambi kubwa, mf. Kumchukuwa mtu msukule ili ufanikiwe!! Ni kwa nini usijitese mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…