Ni yapi madhambi makubwa?

Kwa mantiki hiyo hata Sukari na vitu vyenye Sukari hatutakiwi kutumia
 
Kwa mantiki hiyo hata Sukari na vitu vyenye Sukari hatutakiwi kutumia
Hapo sasa unachanganya sana
Sigara sio kitu cha muhimu kwa binadamu bali ni starehe ndio maana huoni baba anakuja na paketi anawagawia wote nyumbani mpaka watoto [emoji1]

Ila Sukari ni kiungo shehe
Ni sawa na pombe huwezi kusema ukitumia kwa kuungia mboga ni halali
 
Lakini Sukari ni silent killer sidhani kama madhara yake yanapishana sana na sigara,

Ndio maana wakasema Sigara inakaraisha Watu ile mimoshi na pengine harufu lakini ukasema uharamu unakuja pale madhara ya sigara yanapotokea mfano Kansa ndio maana nikauliza vipi kuhusu Sukari? Sababu na yenyewe ina madhara ya moja kwa moja
 
Kuvuta sigara sio dhambi ila ni makhuruh yaan ni karaha unawakaraisha wengine na zaidi ni hatari kwa afya yako... Udi na Ubani havina shida yoyote pia sijawahi kusikia Mtu anavuta Udi/Ubani
Unajua maana ya makruh?

Na vipi utatumia kitu ambacho ni hatari kwa afaya yako?
 
Sidhani kama dhambi zote ni sawa in normal sense

Mtu aliyebaka mama yake Kisha akamchinja na mtu aliyevunja kioo kwa makusudi Kisha akakimbia

Kuna dhambi ni ngumu kuliko nyenzake tuache kufarijiana humu
 
Kweli kabisa
 
So bila shaka, wewe ni quraaniyyuun si ndio?.
 
Sidhani kama dhambi zote ni sawa in normal sense

Mtu aliyebaka mama yake Kisha akamchinja na mtu aliyevunja kioo kwa makusudi Kisha akakimbia

Kuna dhambi ni ngumu kuliko nyenzake tuache kufarijiana humu
Kuna dhambi kubwa na ndogo
 
We unakojoa tu Kama kondoo!!
Ndio na hakijawa kitu. Nina afya njema kuliko wewe, nomefanikiwa kuliko wewe, Nina huruma, utu na ubinaadamu kuliko wewe na nipo karibu na Mungu kuliko wewe. Wewe endelea kukojoa kwa mawe utarajie kwenda mbinguni
 
Hata ukitembea na kinyesi utakua tu na afya kuliko Mimi,utakua umefanikiwa kuliko Mimi,utakua na huruma kuliko Mimi...na utakua karibu na mungu wako kuliko mimi
 
Dhambi soma hapo imeandikwa na unapigwa bakora 80 ukikutwa, Ila Sigara wewe na raha zako sio dhambi na ukivuta wala haupigwi bakora Ila tu usiwaudhi watu na ile mimoshi (mukhruh),
Huo upuuzi wa kiislamu
 
Hata ukitembea na kinyesi utakua tu na afya kuliko Mimi,utakua umefanikiwa kuliko Mimi,utakua na huruma kuliko Mimi...na utakua karibu na mungu wako kuliko mimi
Nani aliwadanganya kuwa kinyesi ni dhambi? Tatizo la kufuata mafundisho ya mtu ambaye hakusoma na tafsiri yake inakuwa ya kienyeji enyeji.
 
Nani aliwadanganya kuwa kinyesi ni dhambi? Tatizo la kufuata mafundisho ya mtu ambaye hakusoma na tafsiri yake inakuwa ya kienyeji enyeji.
Nani kasema kinyesi ni dhambi!?..we msomi wa chuo kikuu ndivyo uelewa wako ulivyo!?
 
Muislamu yeyote atakayesema binadamu wa kale (before Christ) walikua waislamu nitakuonyesha hii comment.
 
Hebu fafanua maana ya mtumwa kumkimbia bwana wake.allah anaruhusu utumwa??????
 
Watu wa bid'aa mna tabu sana tena sanaaa
 
Watu wa bid'aa mna tabu sana tena sanaaa
Bidaa ni wewe na wenzio mnaozua mambo kwenye dini,ya kuvaa njiwa,kufunga ndevu,kuvaa niqab na kuyafanya faradhi kwamba atayeenda kinyume na hivyo motoni..na Wala Qur'an isiseme
 
Kuvuta sigara sio dhambi ila ni makhuruh yaan ni karaha unawakaraisha wengine na zaidi ni hatari kwa afya yako... Udi na Ubani havina shida yoyote pia sijawahi kusikia Mtu anavuta Udi/Ubani
kasome surat baqarah ayah ya 195
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…