Ni yapi madhara ayapatayo mwanaume kwa kumuingilia mke kinyume na maumbile?

nawasalimu kwa jina la jmt!

Tumeona na kuelimishwa na nyuzi nyingi sana humu kuhusu madhara wayapatayo wanaoingiliwa kinyume na maumbile. Hebu leo tufahamishane kuhusu madhara ya kiafya kwa upande wa anayeingilia. Ahsante!
Kuna joto sana huko linaua nguvu, pia tope linaingia kwenye mrija wa uume na kupelekwa kansa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…