"Ni yeye 2020" Ni slogan mbovu kwa CHADEMA kuelekea Uchaguzi

TID analalamika kule kwenye suala intellectual property.
 
Huyu jamaa tukimpatia nchi atsbadili mambo mengi hasa LGDB
Kile ambacho CHADEMA imekuwa ikikosoa wengine ndicho inachokuja nacho. Walilalamika juu ya neno Tanzania ya Mag..... .
Kwanini Chadema mnakuja na slogan inayohusu mgombea na sio wananchi. Je uchaguzi huu umelenga kuwa na faida kwa nani!? Mpiga kura au mpigiwa Kura.

Kama ilivyokuwa kwa CCM walivyokuwa na Moto tofauti Kama Hali mpya, nguvu na Kasi. Au hapa Kazi tu. Wanachadema mnatakiwa mje na Moto utakaowalenga watu na sio mgombea. Kuanza kutukuza wagombea sio swala sahihi. Kipi mnachokusudia kuwafanyia watanzania. Njooni na slogan mzuri. Kwa nilivyowasikiliza inaweza ikawa.

*Tanzania mpya ya haki na usawa kwa kila mtu.

*Tanzania kwanza, uchumi wa mtu kwanza.

*Mwanzo mpya wa maendeo
*Serikali ya watu
*Tanzania mikononi mwako.
*Mabadiliko halisi ya kiuchumi
*

Mi sio mpenzi wa chama chochote Cha siasa Ila naamini mtifuano mzuri wa sera nzuri utatupa mwanzo mzuri kwa atakaeshinda kuwa na vision haijalishi NI Nani. Upinzani imara NI lazma kwa maendeleo ya taifa.
 
CCM tulieni. Ya Chadema hayawahusu. Tulieni Muone watanzania wanavyofanya ya Malawi mwaka huu
 
Kile ambacho CHADEMA imekuwa ikikosoa wengine ndicho inachokuja nacho. Walilalamika juu ya neno Tanzania ya Mag..... .

Kwanini CHADEMA mnakuja na slogan inayohusu mgombea na sio wananchi. Je, uchaguzi huu umelenga kuwa na faida kwa nani!? Mpiga kura au mpigiwa kura.

Kama ilivyokuwa kwa CCM walivyokuwa na Moto tofauti Kama Hali mpya, nguvu na Kasi. Au hapa Kazi tu. WanaCHADEMA mnatakiwa mje na Moto utakaowalenga watu na sio mgombea.

Labda tuangalie mbele mamtoni Trump alikuja na slogan Make America great again. Africa Malawi mpinzani alikuwa na slogan yake.

Slogani ndio muongozo wa sera. Lazma CHADEMA mje na Moto uneoelezea kwa kifupi mnachotaka kukifanya. Uwe wazi, wa kiswahili, mfupi na unaoeleweka kirahisi.

Kuanza kutukuza wagombea sio swala sahihi. Kipi mnachokusudia kuwafanyia watanzania. Njooni na slogan mzuri. Kwa nilivyowasikiliza inaweza ikawa.

*Tanzania mpya ya haki na usawa kwa kila mtu.
hapa mtagusa kile mnachopigania kila siku, uchumi wa mtu moja moja, Uhuru wa kujieleza na katiba mpya

*Tanzania kwanza, uchumi wa mtu kwanza.

*Mwanzo mpya wa maendeo.
*Serikali ya watu
*Tanzania mikononi mwako.
*Mabadiliko halisi ya kiuchumi

*kwa pamoja tutafikia malengo

( Hapa mtahusisha kila haki ya kila mtu inagusa maendeleo ya mtu mwingine na lazma kuunganisha nguvu ili kuendelea) mfano

1. Maslah Bora kwa watumishi wa umma na sekta binafsi huleta Bei Bora ya mazao ya kilimo hasa chakula kwa wakulima, huwapa faida nzuri wafanya biashara hakuna anayeumia pekeyake. Mafundi na hata taasisi za fedha.
2. Au Kodi Rafiki na mazingira Bora ya biashara kwa wafanyabiashara huleta Bei nzuri ya bidhaa kwa watumishi, wakulima na raia wa kawaida.
3. Upatikanaji rahisi wa pembejeo, usafiri na uhuru wa kibiashara husaidia Bei nzuri ya vyakula.

Mi sio mpenzi wa chama chochote Cha siasa Ila naamini mtifuano mzuri wa sera nzuri utatupa mwanzo mzuri kwa atakaeshinda kuwa na vision haijalishi NI Nani. Upinzani imara NI lazma kwa maendeleo ya taifa.
Slogan siyo sera

Day light dream
 
Kijani kibichi mnahangaika Sana na bado tayari , Jiwe yupo kwenye kumi na nane za mabeberu.
 
Lisu amedai yupo tayari kabisa kuhakikisha amani yetu inaondoka na watu wanapigwa risasi uchaguzi huu.
 
Ona huyu naye sijui kala maharage ya wapi,msimuwekee Lissu maneno mdomoni nyie wazee wa Lumumba vipi.
 
Back
Top Bottom