Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Umetaja sifuri tupu hapo. Hakuna kiongozi hata m'moja. At least Lukuvi kidoooogoool ana afadhali kiutendaji na atainyoosha inchi maana ana umakini. Hao wengine ni takataka.
Umri ushaenda sana
 
Hapo hamna hata mmoja anayefaa Kwa maoni yangu ni yule balozi wa malawi
 
Reactions: RNA
Sasa tundu lissu ni mzalendo gani[emoji856][emoji856]
Pia hapo toa majina ya kiislamu yote bakisha mengine tujadili ..waislamu wana abudu wazungu na waarabu kuwapa 8ongozi ni jau
Udini unaingiaje?
Tunaweza jenga hoja bila kuweka udini?
 
ONDOA LISU HAPO. BAKIZA TAKATAKA ZINGINE HIZO ZISHINDANE
 
Ulega na Aweso ndio wanaoandaliwa!Lakini mteule atatokea Mbinguni kwa Baba coz machaguo ya wanadamu yametuumiza Sana na kutuibia Sana!hatutaki Rais Mwenye njaa ya utajiri!!
 
Hussein huyu huyu aliyefeli Muhimbili na aliyegoma kujiunga na mafunzo ya JKT au Hussein Mwingine ?
Mkuu Erythrocyte niwekee fact hapa, lkn iliyo nje ya maneno ya kisiasa. Binafsi nimeshajifunza mengi kupitia siasa za majitaka kama vile leo viongozi wa upinzani waniambie Lowasa fisadi hafai kuwa hata diwani, kesho waniambie Lowasa sio fisadi na anafaa sana kuwa raisi wa Tanzania. Au leo mch... fulani wa Iringa aniambie Kinana ni jangili wa meno ya tembo, kesho aombe radhi na kusema kuwa Kinana sio fisadi, bali alitumia siasa kuongea aliyoongea nk. Inajulikana wazi kuwa siasa ni uongo, lkn isiwe uongo wa kuchafua majina ya watu.
 
Fact anazo DSO na RSO, wewe huna mamlaka ya kupewa "facts".
Sasa kama fact anazo DSO na RSO kwann shutuma ulete wewe? Au ulifikiri kila mtu ana kichwa cha kupokea matapishi ya wapinzani uchwara?
 
Sio kwamba pm majaliwa awe ndo prezidaa harafu mwinyi awe Makamu, namuelewa sana Hon. Majaliwa, Mungu amsaidie iwe hivyo
Ya Majaliwa ni tunu ya taifa letu. Lakini hata Mwinyi namkubali sana, japo wafia uzinzibar wa Zanzibar wanapambana kumkwamisha kwa vile ana asili ya bara.
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…