- Thread starter
- #181
😂😂😂😂 una ushahidi ?Bashe sio raia wa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 una ushahidi ?Bashe sio raia wa Tanzania
Umri ushaenda sanaUmetaja sifuri tupu hapo. Hakuna kiongozi hata m'moja. At least Lukuvi kidoooogoool ana afadhali kiutendaji na atainyoosha inchi maana ana umakini. Hao wengine ni takataka.
Sio kwamba pm majaliwa awe ndo prezidaa harafu mwinyi awe Makamu, namuelewa sana Hon. Majaliwa, Mungu amsaidie iwe hivyoHussein Mwinyi anafaa na makamu wake Majaliwa. Hao wengine wachumia tumbo.
Hapo hamna hata mmoja anayefaa Kwa maoni yangu ni yule balozi wa malawiHabari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Duh !3. Askofu Gwajima
Labda wa kwanza na wa pili !! LABDA !!Duh !
MimiNani kasema ?
Udini unaingiaje?Sasa tundu lissu ni mzalendo gani[emoji856][emoji856]
Pia hapo toa majina ya kiislamu yote bakisha mengine tujadili ..waislamu wana abudu wazungu na waarabu kuwapa 8ongozi ni jau
huyo hapanaMakamu awe Bashiru
AntipaseeeeeeAnahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!
Lipo jina hapo naliona ndie!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!
Tafuteni WENYEWE!
ONDOA LISU HAPO. BAKIZA TAKATAKA ZINGINE HIZO ZISHINDANEHabari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
U pm unamtoa kwenye mbio!Pm ambaye amewahi kuwa Rais ni nyerere tu basi!!!Sio kwamba pm majaliwa awe ndo prezidaa harafu mwinyi awe Makamu, namuelewa sana Hon. Majaliwa, Mungu amsaidie iwe hivyo
Mkuu Erythrocyte niwekee fact hapa, lkn iliyo nje ya maneno ya kisiasa. Binafsi nimeshajifunza mengi kupitia siasa za majitaka kama vile leo viongozi wa upinzani waniambie Lowasa fisadi hafai kuwa hata diwani, kesho waniambie Lowasa sio fisadi na anafaa sana kuwa raisi wa Tanzania. Au leo mch... fulani wa Iringa aniambie Kinana ni jangili wa meno ya tembo, kesho aombe radhi na kusema kuwa Kinana sio fisadi, bali alitumia siasa kuongea aliyoongea nk. Inajulikana wazi kuwa siasa ni uongo, lkn isiwe uongo wa kuchafua majina ya watu.Hussein huyu huyu aliyefeli Muhimbili na aliyegoma kujiunga na mafunzo ya JKT au Hussein Mwingine ?
Sasa kama fact anazo DSO na RSO kwann shutuma ulete wewe? Au ulifikiri kila mtu ana kichwa cha kupokea matapishi ya wapinzani uchwara?Fact anazo DSO na RSO, wewe huna mamlaka ya kupewa "facts".
Ya Majaliwa ni tunu ya taifa letu. Lakini hata Mwinyi namkubali sana, japo wafia uzinzibar wa Zanzibar wanapambana kumkwamisha kwa vile ana asili ya bara.Sio kwamba pm majaliwa awe ndo prezidaa harafu mwinyi awe Makamu, namuelewa sana Hon. Majaliwa, Mungu amsaidie iwe hivyo
But unadhani ni rahisi kutoka Urais mpaka UmakamuSio kwamba pm majaliwa awe ndo prezidaa harafu mwinyi awe Makamu, namuelewa sana Hon. Majaliwa, Mungu amsaidie iwe hivyo
Hata mimi nimeshangaa Gwaji boy ana watu sanaLabda wa kwanza na wa pili !! LABDA !!