Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Mtoa mada hao ndo wanafaa.ww hufai??
 
Huyu namba 10 Tundu Lisu ondoa kabisa huyo ni mshenzi atauza nchi,tena akipewa naombea wachawi wote wamloge akufilie mbali,mtu gani anaiongelea ardhi yetu akiwa nyumbani kwa washenzi

#1 Bashiru #2 Majaliwa #3 Gwajima #4 Makonda

Hapo angalau
 
Ya Majaliwa ni tunu ya taifa letu. Lakini hata Mwinyi namkubali sana, japo wafia uzinzibar wa Zanzibar wanapambana kumkwamisha kwa vile ana asili ya bara.
Huyo mwinyi ana nini na mamiwani yake yale kama baba paroko?

Nchi inahitaji RAIS na sio mzaliwa wa kifalme mwenye haiba za paroko!

Hana chochote zaidi ya kutoka kwenye ukoo wa KIFALME.
 
Nikishaapishwa, nikitia saini kwa wino wangu mwekundu, pale uwanja wa Taifa
 
Anahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!

Lipo jina hapo naliona ndie!

Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!

Sitomtaja kwenye uzi Huu!

Tafuteni WENYEWE!
TL bila shaka. 2020 alionyesha kweli,hata kile Chuma kilibonyea!
 
Kuna watu mnastahili matusi matakatifu.
CCM iliyofeli kwa miaka 60 bado unaamini inaweza kutoa viongozi bora!
Wapo ndani ya CCM wanaweza kuifaa Nchi tukiangalia Kwa makini IWAPO watakaa nje ya mfumo.

Mf una habari Mh Sitta alikuwa ndie awe mgombea wa CDM Badala ya aliegombea Dr Slaa?
 
Anahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!

Lipo jina hapo naliona ndie!

Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!

Sitomtaja kwenye uzi Huu!

Tafuteni WENYEWE!
Kama baba kama mtoto
 
Hata Jirani wa Kenya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…