- Thread starter
- #241
Wenye akili kubwa wameelewa lakiniUkishiba unajiandikia tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili kubwa wameelewa lakiniUkishiba unajiandikia tu!
Ni mama yako!Nyerere ni nani boss?
Mtoa mada hao ndo wanafaa.ww hufai??Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Waislamu wanawaabudu waarabu na wanawaogopa wazunguSasa tundu lissu ni mzalendo gani[emoji856][emoji856]
Pia hapo toa majina ya kiislamu yote bakisha mengine tujadili ..waislamu wana abudu wazungu na waarabu kuwapa 8ongozi ni jau
Huyu namba 10 Tundu Lisu ondoa kabisa huyo ni mshenzi atauza nchi,tena akipewa naombea wachawi wote wamloge akufilie mbali,mtu gani anaiongelea ardhi yetu akiwa nyumbani kwa washenziHabari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Nashangaa raia wanamuoverrate sana nae ni walewaleYaani jamaa huyuhuyu kangomba tuliye naye huku Kusini akiwaibia wakulima wa ufuta na korosho ndiye unamuongelea!!??
Huyo mwinyi ana nini na mamiwani yake yale kama baba paroko?Ya Majaliwa ni tunu ya taifa letu. Lakini hata Mwinyi namkubali sana, japo wafia uzinzibar wa Zanzibar wanapambana kumkwamisha kwa vile ana asili ya bara.
Twende na Gwajima tutafikaHuyo mwinyi ana nini na mamiwani yake yale kama baba paroko?
Nchi inahitaji RAIS na sio mzaliwa wa kifalme mwenye haiba za paroko!
Hana chochote zaidi ya kutoka kwenye ukoo wa KIFALME.
TL bila shaka. 2020 alionyesha kweli,hata kile Chuma kilibonyea!Anahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!
Lipo jina hapo naliona ndie!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!
Tafuteni WENYEWE!
DuuuWanyiramba hawanaga akili
Wapo ndani ya CCM wanaweza kuifaa Nchi tukiangalia Kwa makini IWAPO watakaa nje ya mfumo.Kuna watu mnastahili matusi matakatifu.
CCM iliyofeli kwa miaka 60 bado unaamini inaweza kutoa viongozi bora!
Kama baba kama mtotoAnahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!
Lipo jina hapo naliona ndie!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!
Tafuteni WENYEWE!
Hata Jirani wa KenyaUlevi sio tatizo sana Kama ana akili kubwa ! Mbona ma Rais wengi tu walikuwa wanautwika na bado wanatawala Nchi kubwa tu na nyingine ni Super power Kama Urusi alikuwepo Boris Yeltsin! Baadhi ya ziara zake zilikuwa zinaakhirishwa akiwa angani kwa sababu anakuwa amelewa sana !! Hatari sn !!!
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Ila Makamba kundi lake mafisadi fisadiMakamba
Huo mwandiko ni kama vile umejua Jana tu kusoma na kuandika.