Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Sasa tundu lissu ni mzalendo gani[emoji856][emoji856]
Pia hapo toa majina ya kiislamu yote bakisha mengine tujadili ..waislamu wana abudu wazungu na waarabu kuwapa 8ongozi ni jau
Acha udini hao wakiristo ukimtoa mkapa na Nyerere jiwe alitufanyia nini zaidi ya mateso kwa hili taifa
 
Ninashauri tumuombe jirani yetu Obama aje atawale angalau kwa kipindi kimoja ili atufundishe kuwa Tanzania si ya wanaccm tu, na ili kuijenga zinahitajika juhudi za wananchi wote, Mr Obama you are welcome to Tanzania the land of Royal Tour.
 
January Yusuph Makamba
 
tumalizane na katiba kwanza, kisha tuone nani atatufaa kwa wakati huo.
 
Zote takataka... labda Tundu Lissu tu
 
Ya kuua wananchi anaowaongoza ? Huu ni wehu
 
Acha udini hao wakiristo ukimtoa mkapa na Nyerere jiwe alitufanyia nini zaidi ya mateso kwa hili taifa
Ukweli useme waislamu hatufai kwenye uongozi kabisa kuchagua muislamu kuwa rais ni sawa sawa na kuchagua mwanamke kuwa raisi
 
Ngowi au Harry Kitilya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…