Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Namuona Lissu , namuona Majaliwa.
 
Reactions: RNA

Tume ya uchaguzi na vyombo vya dola ndio vinavyochagua rais wa nchi hii, hivyo ni vyema ukawapelekea hii list ili wamchague wamtakaye hapo.
 
Mbona kigogo 2014 hayupo
 
Paul Makonda anafaa sana
 
Reactions: RNA
Yah yoyote kati ya Majaliwa au Bashiru anafaa kuwa makamu. Lkn mimi naona list inaweza kuwa nzuri zaidi kiuongozi kwa kufuata mpangilio huu... 1) raisi Hussein Mwinyi, 2) makamu wa raisi Kassim Majaliwa, na 2) waziri mkuu Bashiru.
Yaani jamaa huyuhuyu kangomba tuliye naye huku Kusini akiwaibia wakulima wa ufuta na korosho ndiye unamuongelea!!??
 
1. Venas Salvatory Mabeyo
2. Hussein Mwinyi
3. George Simbachawene
4. Majaliwa Kasim Majaliwa
5. January Makamba
 
Reactions: RNA
Gwajima kwa sasa yuko vizuri, anajijenga kila wilaya kupia mahubiri ya dini
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…