Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Katika majina yako ongeza hawa: Mtoto wa Mzee Nnauya (Nape), mtoto wa Mzee Makamba (January) , Mtoto wa mzee Kikwete (Ridhiwani) - hivi Mzee Kinana ana mtoto? Kama yupo, basi mtoto wa mzee Kinana (........).
Maana wewe uliowataja wengi ni wa awamu ya tano (Sukuma gang!), hawapendwi!
 
Reactions: RNA
Ukweli useme waislamu hatufai kwenye uongozi kabisa kuchagua muislamu kuwa rais ni sawa sawa na kuchagua mwanamke kuwa raisi
Acha ubaguzi
 
*Hussein mwinyi labda na majaliwa

*Lissu hamna kitu humo
*Bashiru ni MTU wa kubadilika ataanza kutumia falsafa za kujihami.
*mwigulu hata atambikie baharini hana hata mwonekano wa kuongoza.
*makamba ni masifa sana atarudisha ibada ya kuimba na kusifu.
*Nape ana kiburi hivyo atagoma kutembea atataka abebwe kwenye machela. Tutaumia.
* Upinzani wote hamna kitu....
*****************************
Kura ni kwa
1.Dr. Hussein mwinyi.
2.Majaliwa(hapo ni muongo sana)
 
Reactions: RNA
Tabia za KUJIRUDIA za watokao pwani na visiwani kuja kuuza raslimali za bara zinawaondolea sifa kukabidhiwa kijiti baada ya huyu.
 
Tabia za KUJIRUDIA za watokao pwani na visiwani kuja kuuza raslimali za bara zinawaondolea sifa kukabidhiwa kijiti baada ya huyu.
Mkuu marais kwenye maono hutoka kanda ya ziwa wengine hao ni miyeyusho sana
 
Hapo namba 10. Ni namba ya mshambuliaji Kweli bt mwandishi amesahau kuwa:

CDM Haina desturi ya kurudia mgombea ktk nafasi hiyo.

Ukimtoa huyo,na Mnyika, CDM itabidi wasajili Kutoka Timu ya KIJANI,

Anyway Tuandike KATIBA mpya kwanza.

Amen
 
eti akili yangu inamuona gwajimaaa 😀 😀 😀 😀 sijui ni bhangi au nini hiki
 
Bila jina la Jenerali Lengai Ole Sabaya hiyo list ni feki. Kijana ana uthubutu, ujasiri, na ujiniasi wa hali ya juu. Futa list yako uandike upya
 
Reactions: RNA
majaliwa changamoto moja hawezi kusimamia na kusema ukweli labda ikifika kipindi cha kukosoa utendaji wa watu wengine ila sio serikali..
 
Mkuu marais kwenye maono hutoka kanda ya ziwa wengine hao ni miyeyusho sana
Ni coincidence tu, viongozi wenye maono waweza Toka mahal popote maana tupo zaidi ya watu 60 ml.

Filikunjombe alikuwa visionary leader, kambona, sokoine, Nyerere,

Mbowe na MNYIKA ni wabeba maono pia kama warioba.

Wapo wengi visionary wasokuwa na majina Bado ambao:

"Matumbo Yao hayaathiri UBONGO wao in a negative way. ""

Maana njaa ni jambo la muda mfupi tu.
Amen
 
Hapo kwa Bashiru Ally, Gwajima na Paul Makonda ongeza na Lengai Ole Sabaya maana uonavyo wewe hawa ndiyo wazalendo
 
Yaani jamaa huyuhuyu kangomba tuliye naye huku Kusini akiwaibia wakulima wa ufuta na korosho ndiye unamuongelea!!??
Weka fact mkuu, mimi mara nyingi huwa naamini jambo kupitia fact. Ila kama hauna fact basi hoja yako ipeleke kwa wanywa kahawa wenzio. Toka tulipoambiwa kuwa Lowasa ni fisadi asiefaa kuongoza hata ujumbe wa nyumba kumi kumi, na baadae waliotuambia hivyo kugeuza tena kauli na kutuambia kuwa Lowasa ni mwenye maono anaefaa kuwa raisi wa chi hii, basi nimepoteza imani na shutuma za vijiweni zisizokuwa na fact yoyote ya kunifanya niamini.
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…