Katika majina yako ongeza hawa: Mtoto wa Mzee Nnauya (Nape), mtoto wa Mzee Makamba (January) , Mtoto wa mzee Kikwete (Ridhiwani) - hivi Mzee Kinana ana mtoto? Kama yupo, basi mtoto wa mzee Kinana (........).Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi.
Maana wewe uliowataja wengi ni wa awamu ya tano (Sukuma gang!), hawapendwi!