Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Nchi yetu na zote za kiafrika zinaendeshwa kizamani sana, tunahitaji raisi aliye na maono, mwenye exposure, mwenye entrepreneurial mindset na sio politician (siasa ni wakati wa kuchagua viongozi tu), mzalendo wa kweli sio uzalendo huu wa awamu ya tano, aliyetayari kujifunza kutoka kwa waliondelea na wataalamu.
 
Hakika
 
Sawa
 
Anthony
 
Reactions: RNA
Nani au chombo gani huwaandaa Marais wa Tanzania??
 
Hafai kwa kila wizara labda apewe idara tu,au akaendeshe kampuni yake ya Esther bus
Akiwa wizara ya mambo ya ndani wakosoaji wa jiwe walitekwa sanaaa akiwemo yule dogo wa udsm aliyeokotwa misitu ya saohill
 
Anahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!

Lipo jina hapo naliona ndie!

Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!

Sitomtaja kwenye uzi Huu!

Tafuteni WENYEWE!
Hata mie nimemuona. Mh. Majaliwa hapana anatosha kwa kipindi alichotumikia. Wengine wote hawana guts. Nchi inahitaji mtu mwenye guts za kusema hiki sawa hiki hapana na mwenye maono.
 
Hata mie nimemuona. Mh. Majaliwa hapana anatosha kwa kipindi alichotumikia. Wengine wote hawana guts. Nchi inahitaji mtu mwenye guts za kusema hiki sawa hiki hapana na mwenye maono.
Nyie ni Team JPM
 
Ila hawezi kuwafikia wale aliopambanishwa nao kwenye orodha ya mwandishi hapo juu!
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…