wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
Lissu ni mnafiki. Anachokisema sicho anachokimaanisha. Bora hata Msigwa1. Hussein Mwinyi
2. Tundu Lissu
Hawa wanaweza tupeleka sehemu nzuri zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ni mnafiki. Anachokisema sicho anachokimaanisha. Bora hata Msigwa1. Hussein Mwinyi
2. Tundu Lissu
Hawa wanaweza tupeleka sehemu nzuri zaidi.
Ndugaye etiTutajie mkuu
😂😂😂Hapo kwa Bashiru Ally, Gwajima na Paul Makonda ongeza na Lengai Ole Sabaya maana uonavyo wewe hawa ndiyo wazalendo
HakikaNchi yetu na zote za kiafrika zinaendeshwa kizamani sana, tunahitaji raisi aliye na maono, mwenye exposure, mwenye entrepreneurial mindset na sio politician (siasa ni wakati wa kuchagua viongozi tu), mzalendo wa kweli sio uzalendo huu wa awamu ya tano, aliyetayari kujifunza kutoka kwa waliondelea na wataalamu.
SawaHapo kuna mtu mmoja tu mwenye sifa za kuwa Rais ni Husein Mwinyi.Lisu Urais hawezi,Makonda Gwajima ni wahuni na nchi ingekuwa inafata sheria wangekua magereza kwa Sababu wote Wana jinai .Hao wengine sifa za uongozi hawana .Lisu labda uwaziri lakini ngazi ya Urais atakua dikiteta mkubwa Sana ni zaidi ya Magufuli.
Nani kasema ?Bashiru amenyooka sana. Bahati mbaya wanyoofu hawatakiwa Tanzania.
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
11, Anthony mtaka
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
HaaaNdugaye eti
Una uhakika ?Lissu ni mnafiki. Anachokisema sicho anachokimaanisha. Bora hata Msigwa
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Akiwa wizara ya mambo ya ndani wakosoaji wa jiwe walitekwa sanaaa akiwemo yule dogo wa udsm aliyeokotwa misitu ya saohillHafai kwa kila wizara labda apewe idara tu,au akaendeshe kampuni yake ya Esther bus
Hata mie nimemuona. Mh. Majaliwa hapana anatosha kwa kipindi alichotumikia. Wengine wote hawana guts. Nchi inahitaji mtu mwenye guts za kusema hiki sawa hiki hapana na mwenye maono.Anahitajika inteligent, humble, patriotic, visionary and Truthful kufanikisha next stage!
Lipo jina hapo naliona ndie!
Na Mbingu zimemchagua na sisi wazalendo tunaenda nae!
Sitomtaja kwenye uzi Huu!
Tafuteni WENYEWE!
Kuna Ushahidi ?Akiwa wizara ya mambo ya ndani wakosoaji wa jiwe walitekwa sanaaa akiwemo yule dogo wa udsm aliyeokotwa misitu ya saohill
Nyie ni Team JPMHata mie nimemuona. Mh. Majaliwa hapana anatosha kwa kipindi alichotumikia. Wengine wote hawana guts. Nchi inahitaji mtu mwenye guts za kusema hiki sawa hiki hapana na mwenye maono.