Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Wanyiramba akili ya kuongoza hawana, watu wanaotokea kwenye njaa kifikra kichwani ni weupe sana
Aisee! Simtetei mtu wako huyo unayemponda, ila hoja yako imepwaya kama misaada ya NATO Ukraine! It simply doesn't make sense!

Wezi wakubwa kwenye nchi hii, wengi wao ni wale waliokulia kwenye majumba yanayomiminika ^asali na maziwa^ mchana kutwa na usiku kucha.

Kuna mifano mingi sana na ya wazi juu ya hili mpaka kero yaani!
 
Reactions: RNA
Fact anazo DSO na RSO, wewe huna mamlaka ya kupewa "facts".
 
Umetaja sifuri tupu hapo. Hakuna kiongozi hata m'moja. At least Lukuvi kidoooogoool ana afadhali kiutendaji na atainyoosha inchi maana ana umakini. Hao wengine ni takataka.
 
Mohamed Dewji
Rostam Aziz

Hao ndiyo wanafaa kuchaguliwa. Wanajua biashara, wanajua uchumi unaendeshwaje siyo hao wanasiasa mnaowataka ambao hawajui kuendesha uchumi. Punguzeni ubaguzi na udini mtafika mbali.
 
Reactions: RNA
Tusubiri Bimkubwa amalize kama tutakuwepo itajulikana tu maana stress zimezidi hali ngumu! tushughulikie kwanza dada zetu na mama zetu wameharibika tabia na kupelekea mtu kachukizwa na mkewe kuchepuka anaua ukoo mzima!
 
Reactions: RNA
Vizuri mkuu
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…