Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Wanyiramba akili ya kuongoza hawana, watu wanaotokea kwenye njaa kifikra kichwani ni weupe sana
Aisee! Simtetei mtu wako huyo unayemponda, ila hoja yako imepwaya kama misaada ya NATO Ukraine! It simply doesn't make sense!

Wezi wakubwa kwenye nchi hii, wengi wao ni wale waliokulia kwenye majumba yanayomiminika ^asali na maziwa^ mchana kutwa na usiku kucha.

Kuna mifano mingi sana na ya wazi juu ya hili mpaka kero yaani!
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Weka fact mkuu, mimi mara nyingi huwa naamini jambo kupitia fact. Ila kama hauna fact basi hoja yako ipeleke kwa wanywa kahawa wenzio. Toka tulipoambiwa kuwa Lowasa ni fisadi asiefaa kuongoza hata ujumbe wa nyumba kumi kumi, na baadae waliotuambia hivyo kugeuza tena kauli na kutuambia kuwa Lowasa ni mwenye maono anaefaa kuwa raisi wa chi hii, basi nimepoteza imani na shutuma za vijiweni zisizokuwa na fact yoyote ya kunifanya niamini.
Fact anazo DSO na RSO, wewe huna mamlaka ya kupewa "facts".
 
Umetaja sifuri tupu hapo. Hakuna kiongozi hata m'moja. At least Lukuvi kidoooogoool ana afadhali kiutendaji na atainyoosha inchi maana ana umakini. Hao wengine ni takataka.
 
Mohamed Dewji
Rostam Aziz

Hao ndiyo wanafaa kuchaguliwa. Wanajua biashara, wanajua uchumi unaendeshwaje siyo hao wanasiasa mnaowataka ambao hawajui kuendesha uchumi. Punguzeni ubaguzi na udini mtafika mbali.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Tusubiri Bimkubwa amalize kama tutakuwepo itajulikana tu maana stress zimezidi hali ngumu! tushughulikie kwanza dada zetu na mama zetu wameharibika tabia na kupelekea mtu kachukizwa na mkewe kuchepuka anaua ukoo mzima!
 
  • Thanks
Reactions: RNA
nitaiongoza hii nchi kuanzia 2035, na nitakaa madarakani kwa 30yrs, baada ya hapo Tanzania itakuwa ni moja ya nchi inayoogopeka sana duniani.

Bila kuja binadamu mwenye fikra na maono kama yangu, hii nchi haiwezi kutoboa.
Mtakaokuwa hai kuanzia 2035 mpaka 2065 mtaiona hii nchi itakavyopaa.
Vizuri mkuu
 
hawa angalau wanaafadhali kidogo Dr Hussein Mwinyi, Ridhwani Kikwete, Hussen Bashe, January Makamba, Freeman Mbowe, Sugu wa CDM,Adam Malima, Eng Hersi wa Yanga.

Tukishindwa kabisa bora arudi Mkwere wa Msoga, JK mwenyewe amalizie mpaka 2035 anikabidhi gurudumu.
Sawa
 
Back
Top Bottom