fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Makamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya mama anatakiwa awe ni mkristo kwa mujibu wa kanuni waliojiwekea Ccm ! Ila Kama wa kutoka upinzani anaweza kuwa wa dini yeyote!
Makonda huyu huyu aliyesema yeye anakula raha kuliko mtu yeyote nchini?! Au makonda yule anayegombania ghorofa na Gsm au ni yupi ?? Kweli tumeishiwa !! The state waje waweke mtu wao muda ukifika labda baada ya hapo mtu madhubuti atakuwa amejulikana !!majaliwa humlinganishi na yeyoye yupo vizuri sana kwa uongozi akifuatiwa na makonda. mwinyi ni mjanja anajilibikizia mali
Acha kudanganya. Kwangu Lissu ndio the best alimpinga Magufuli wakati wengine wamejificha na kujipendekeza. Kalimwa risasi lakini karudi kapambana na Magufuli. Hujiulizi kwanini kesi yake ilizimwa?.
Kuwa seriousKama list ndio hiyo kwa nini hujamtaja Piere Likwidi?.
Possible ni mkatolikiWaumini wake
Kweli
ni lazima awe mkatoliki au mkristo yeyote ?
Uko sahihi mkuuKuna watu mnastahili matusi matakatifu.
CCM iliyofeli kwa miaka 60 bado unaamini inaweza kutoa viongozi bora!
Wazanzibar hawana tabia hizomajaliwa humlinganishi na yeyoye yupo vizuri sana kwa uongozi akifuatiwa na makonda. mwinyi ni mjanja anajilibikizia mali
😂😂😂😂Kwa kweli ni Mwanaume wa pekee aloweza kumkabili Goliath bila uoga [emoji123] huku wengine wakiwa wameufyata.
Actually Tundu Lissu ni Mfalme Daudi ajaye.
Wanyiramba hawanaga akili
Ni ukweli wanyiramba na warangi wao ni uchawi tuWanyiramba hawanaga akili
Lissu, Magufuli na Lowasa Wana ufanano flani wa attitude Ila Wana tofauti kadhaa za msingi katika kucontrol mihemko yao.1. Hussein Mwinyi
2. Tundu Lissu
Hawa wanaweza tupeleka sehemu nzuri zaidi.
Mwigulu anaweza kuwa Rais wa Tanzania Ila Mungu ambadilishe Sana maana Sasa sisi wananchi tumechoka na nchi yetu kutokana na matendo wa viongozi wa siasa...Mwigulu Nchemba
Umemsahau job lusindeHabari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Msukuma anafaa hasa !Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Ukishiba unajiandikia tu!Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu Gwajima
4. Kassim Majaliwa
5. Paul Makonda
6. Ummy Mwalimu
7. Hussein Bashe
8. Emmanuel Ole Shangai
9. Kenani Kihongosi
10. Tundu Lissu
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Tundu jambazi hahahaaMwinyi nampenda , ummy mwalimu, kassimu majaliwa hawa naona wanafaa .
Tundu lissu hili lijamaa nilijambazi linatupeleka kidikteta bora abaki tu huko aliko anafaa hata ubalozi asipewe
😂😂😂Msukuma anafaa hasa !
Tukimtafutia mkalimani