Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

majaliwa humlinganishi na yeyoye yupo vizuri sana kwa uongozi akifuatiwa na makonda. mwinyi ni mjanja anajilibikizia mali
 
  • Thanks
Reactions: RNA

Makonda huyu huyu aliyesema yeye anakula raha kuliko mtu yeyote nchini?! Au makonda yule anayegombania ghorofa na Gsm au ni yupi ?? Kweli tumeishiwa !! The state waje waweke mtu wao muda ukifika labda baada ya hapo mtu madhubuti atakuwa amejulikana !!
 
Kuna watu mnastahili matusi matakatifu.
CCM iliyofeli kwa miaka 60 bado unaamini inaweza kutoa viongozi bora!
 
Acha kudanganya. Kwangu Lissu ndio the best alimpinga Magufuli wakati wengine wamejificha na kujipendekeza. Kalimwa risasi lakini karudi kapambana na Magufuli. Hujiulizi kwanini kesi yake ilizimwa?.

Kwa kweli ni Mwanaume wa pekee aloweza kumkabili Goliath bila uoga [emoji123] huku wengine wakiwa wameufyata.

Actually Tundu Lissu ni Mfalme Daudi ajaye.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
majaliwa humlinganishi na yeyoye yupo vizuri sana kwa uongozi akifuatiwa na makonda. mwinyi ni mjanja anajilibikizia mali
Wazanzibar hawana tabia hizo
 
Kwa kweli ni Mwanaume wa pekee aloweza kumkabili Goliath bila uoga [emoji123] huku wengine wakiwa wameufyata.

Actually Tundu Lissu ni Mfalme Daudi ajaye.
😂😂😂😂
 
Mwinyi nampenda , ummy mwalimu, kassimu majaliwa hawa naona wanafaa .

Tundu lissu hili lijamaa nilijambazi linatupeleka kidikteta bora abaki tu huko aliko anafaa hata ubalozi asipewe
 
  • Thanks
Reactions: RNA
1. Hussein Mwinyi
2. Tundu Lissu
Hawa wanaweza tupeleka sehemu nzuri zaidi.
Lissu, Magufuli na Lowasa Wana ufanano flani wa attitude Ila Wana tofauti kadhaa za msingi katika kucontrol mihemko yao.
Lissu mtiifu Sana kwa wazungu haijalishi wataleta madhara kiasi gani kikubwa wanafurahisha ego yake tu. Magufuli na lissu wote wanahemko Lao amazing
Anyway Lissu hafai kuwa Rais wa nchi..
 
Mwigulu Nchemba
Mwigulu anaweza kuwa Rais wa Tanzania Ila Mungu ambadilishe Sana maana Sasa sisi wananchi tumechoka na nchi yetu kutokana na matendo wa viongozi wa siasa...

NB: hivi mizimu ya nchi yetu imeshindwa kabisa kutuondolea Hawa viongozi wa hovyo hovyo jamani?
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Umemsahau job lusinde
 
Msukuma anafaa hasa !

Tukimtafutia mkalimani
 
Ukishiba unajiandikia tu!
 
Mwinyi nampenda , ummy mwalimu, kassimu majaliwa hawa naona wanafaa .

Tundu lissu hili lijamaa nilijambazi linatupeleka kidikteta bora abaki tu huko aliko anafaa hata ubalozi asipewe
Tundu jambazi hahahaa
 
Back
Top Bottom