Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

TL bila shaka. 2020 alionyesha kweli,hata kile Chuma kilibonyea!
Chuma kibonyee kwa sababu ya mikutano iliyohudhuriwa na watu wawili? Just be serious bro.
 
Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    60 KB · Views: 10
  • images (23) (1).jpeg
    images (23) (1).jpeg
    31.4 KB · Views: 10
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    45.7 KB · Views: 8
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    72.2 KB · Views: 8
Huyo mwinyi ana nini na mamiwani yake yale kama baba paroko?

Nchi inahitaji RAIS na sio mzaliwa wa kifalme mwenye haiba za paroko!

Hana chochote zaidi ya kutoka kwenye ukoo wa KIFALME.
Bila shaka ww ni mpemba unaemchukia Mwinyi kutokana na uzanzibara wake. Pole sana yakheee makameee.
 
Hii nchi inahitaji aina ya watu kama Tundu Lissu.
Lisu huyu huyu alieshindwa kuwajengea hata kisima kimoja cha maji wapiga kura wake? Kumbuka Lisu amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15, alipokea mamilioni ya sh waliyokuwa wanalipwa wabunge kila mwezi, hapo sijazungumzia mgao wa ruzuku, pamoj na mshahara wa chama. Lakini jamaa ameshindwa kuwasaidia wapiga kura wake hata kisima 1 kwa ajili ya kuwashukuru kwa kumchagua kwao. Huyu ni kati ya wanasiasa wanaopigania matumbo yao na familia zao.
 
Hapo bora Makonda au Kenani
 
Hapo bora Makonda au Kenani
Bora Makonda, japo hakuchaguliwa na wananchi, lkn alijitahidi kutoa msaada kwa jamii mbali mbali, kitu ambacho wengi wao kwenye hii list hawakuwahi kukifanya. Wengi hasa wabunge walikuwa wanajali matumbo yao.
 
Attachments

  • Screenshot_20220708-084851.jpg
    Screenshot_20220708-084851.jpg
    28.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220708-085129.jpg
    Screenshot_20220708-085129.jpg
    24.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220708-085214.jpg
    Screenshot_20220708-085214.jpg
    43.3 KB · Views: 9
Lisu huyu huyu alieshindwa kuwajengea hata kisima kimoja cha maji wapiga kura wake? Kumbuka Lisu amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15, alipokea mamilioni ya sh waliyokuwa wanalipwa wabunge kila mwezi, hapo sijazungumzia mgao wa ruzuku, pamoj na mshahara wa chama. Lakini jamaa ameshindwa kuwasaidia wapiga kura wake hata kisima 1 kwa ajili ya kuwashukuru kwa kumchagua kwao. Huyu ni kati ya wanasiasa wanaopigania matumbo yao na familia zao.
Ndugu, hujajua tu MATUMIZI ya paragraph!!

Tumia mshale ulio chini kulia una RANGI ya bluu kuweka nafasi au paragraph maandishi yasomeke vzr.
 
Back
Top Bottom