pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Namba 1 na 10 naona zina mvuto mkubwa ila hao wengine majanga matupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana hafai, na kama ni dawa ingeandikwa "weka mbali na watoto"Mwigulu Nchemba
Ni mama yako!
Chuma kibonyee kwa sababu ya mikutano iliyohudhuriwa na watu wawili? Just be serious bro.TL bila shaka. 2020 alionyesha kweli,hata kile Chuma kilibonyea!
Bila shaka ww ni mpemba unaemchukia Mwinyi kutokana na uzanzibara wake. Pole sana yakheee makameee.Huyo mwinyi ana nini na mamiwani yake yale kama baba paroko?
Nchi inahitaji RAIS na sio mzaliwa wa kifalme mwenye haiba za paroko!
Hana chochote zaidi ya kutoka kwenye ukoo wa KIFALME.
😂😂😂Ni mama yako!
Lisu huyu huyu alieshindwa kuwajengea hata kisima kimoja cha maji wapiga kura wake? Kumbuka Lisu amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15, alipokea mamilioni ya sh waliyokuwa wanalipwa wabunge kila mwezi, hapo sijazungumzia mgao wa ruzuku, pamoj na mshahara wa chama. Lakini jamaa ameshindwa kuwasaidia wapiga kura wake hata kisima 1 kwa ajili ya kuwashukuru kwa kumchagua kwao. Huyu ni kati ya wanasiasa wanaopigania matumbo yao na familia zao.Hii nchi inahitaji aina ya watu kama Tundu Lissu.
Msituletee Uzanzibar hahahaBila shaka ww ni mpemba unaemchukia Mwinyi kutokana na uzanzibara wake. Pole sana yakheee makameee.
Hapo bora Makonda au KenaniLisu huyu huyu alieshindwa kuwajengea hata kisima kimoja cha maji wapiga kura wake? Kumbuka Lisu amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15, alipokea mamilioni ya sh waliyokuwa wanalipwa wabunge kila mwezi, hapo sijazungumzia mgao wa ruzuku, pamoj na mshahara wa chama. Lakini jamaa ameshindwa kuwasaidia wapiga kura wake hata kisima 1 kwa ajili ya kuwashukuru kwa kumchagua kwao. Huyu ni kati ya wanasiasa wanaopigania matumbo yao na familia zao.
Bora Makonda, japo hakuchaguliwa na wananchi, lkn alijitahidi kutoa msaada kwa jamii mbali mbali, kitu ambacho wengi wao kwenye hii list hawakuwahi kukifanya. Wengi hasa wabunge walikuwa wanajali matumbo yao.Hapo bora Makonda au Kenani
Usije Ukawa MakondaBora Makonda, japo hakuchaguliwa na wananchi, lkn alijitahidi kutoa msaada kwa jamii mbali mbali, kitu ambacho wengi wao kwenye hii list hawakuwahi kukifanya. Wengi hasa wabunge walikuwa wanajali matumbo yao.
Ndugu, hujajua tu MATUMIZI ya paragraph!!Lisu huyu huyu alieshindwa kuwajengea hata kisima kimoja cha maji wapiga kura wake? Kumbuka Lisu amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15, alipokea mamilioni ya sh waliyokuwa wanalipwa wabunge kila mwezi, hapo sijazungumzia mgao wa ruzuku, pamoj na mshahara wa chama. Lakini jamaa ameshindwa kuwasaidia wapiga kura wake hata kisima 1 kwa ajili ya kuwashukuru kwa kumchagua kwao. Huyu ni kati ya wanasiasa wanaopigania matumbo yao na familia zao.
Hahahaha... amna mkuu. Soma post zangu namb #6 na #43, ningekuwa mimi ni Makonda ningeaza kujitaja toka huko juu. Hata hapa nimemtaja baada ya kusoma post yako namb #272Usije Ukawa Makonda
Shukrani kwa ushauri mkuu 🙏Ndugu, hujajua tu MATUMIZI ya paragraph!!
Tumia mshale ulio chini kulia una RANGI ya bluu kuweka nafasi au paragraph maandishi yasomeke vzr.
SawaHahahaha... amna mkuu. Soma post zangu namb #6 na #43, ningekuwa mimi ni Makonda ningeaza kujitaja toka huko juu. Hata hapa nimemtaja baada ya kusoma post yako namb #272
Duh!Ni ukweli wanyiramba na warangi wao ni uchawi tu
Hapo sasa! Watu wengi tunakuwa inferiors !!Mtoa mada hao ndo wanafaa.ww hufai??