Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Samatta ana kipaji, ana uwezo kutembea na kijiji bila shida,Mimi siwajui hao sijui "Nyalamila"... ila nachojua Msuva ana kipaji na juhudi kuliko "Samatta"... Samatta ni nyota tu, kama unafuatilia mpira utanielewa
Hahaha nimekuelewa mkuuLunyamila hana mpinzani hapa. Kucheeza ulaya sio kigezo pekee cha mtu kuwa bora. Wapo wachezaji wengi wazuri lakin hawakupata hiyo fursa ya kucheza ulaya kwa sababu mbalimbali mf lunyamila, mohamed Hussen, athuman machupa na wengine wengi. So leo hii ninja aingie kwenye all times best player kwa kuwa yuko US anacheza na Ibra?
NaamMimi siwajui hao sijui "Nyalamila"... ila nachojua Msuva ana kipaji na juhudi kuliko "Samatta"... Samatta ni nyota tu, kama unafuatilia mpira utanielewa
Samatta ametwaa klabu bingwa afrika akiwa TP Mazembe lakiniSamatta ana kipaji, ana uwezo kutembea na kijiji bila shida,
Msuva ana kipaji, ana speed, mshapu, mbio ndio silaha yake kubwa.
Hakuna bora wa muda wote kati ya hawa wawili labda hao Akina Lunyamila na Manara.
Na mfungaji bora wa CCL msimu huo pia Mchezaji bora Afrika.Samatta ametwaa klabu bingwa afrika akiwa TP Mazembe lakini
Zamoyoni MogellaNimekaa na wazee hapa, wanabishana kuwa Sunday Manara "Computer" ndiye mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Ila miongoni mwao wapo wanaosema hakuna kama Edibily Jonas Lunyamila. Wakakosoa Lunyamila amecheza timu gani Ulaya? Mashabiki wa Lunyamila kimyaaa...
Mimi nimekaa zangu kimya, maana jina linalonijia kichwani ni Mbwana Samatta. Kwangu nafikiri ndio mchezaji bora wa muda wote kutoka Tanzania.
Haya wanajukwaa, tujadiliane hapa nani ni mchezaji bora kuwahi kutokea hapa Tanzania?
Karibuni kwa mjadala...
Samatta ndio GOAT wetuNa mfungaji bora wa CCL msimu huo pia Mchezaji bora Afrika.
Amecheza Afcon, Amecheza EUROPA.. amecheza Uefa.
Sijui kuhusu hao wazee wetu akina Compyuta
Haahaha una hoja ya msingiPele pia hakuchezea ulaya kumbuka
Msuva ni mpambanaji kinomaMimi siwajui hao sijui "Nyalamila"... ila nachojua Msuva ana kipaji na juhudi kuliko "Samatta"... Samatta ni nyota tu, kama unafuatilia mpira utanielewa
Wanasema alienda kwenye majaribio ila akawahi kurudi kwaajili ya mechi ya Simba Vs YangaEdibily Jonas Lunyamila alikuwaga habar nyingine,sema tu hakupata bahati ya kucheza nje