Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Vado wananchi wamemuajiri. Bata kwa kwrnda kwa Deuj
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Dah..Isee
 
Uongozi ni kupokezana vijiti...na wengine waje walete challenge mpya
 
Kuondolewa kwa kigwangala siyo habari ila kama angerudishwa ndiyo ingekuwa habari.

Hakuna alichokuwa anafanya zaidi ya sifa,,kiburi na kupiga picha na wanyama, hata ubunge tu angepigwa chini yule sifuri kabisa.

Halafu hicho chuo cha afya anachosema labda kwa kuwa alikuwa waziri ndiyomana kilipata usajili maana naona ni kama CENTRE YA TUTION TU.

maana siku hizi,hata wanafunzi siwaoni cjw amekosa watu wa kudahili cjw.
 
Aliomba ubunge, hakuomba uwaziri wala unaibu Waziri - alikuwa na maisha kabla ya ubunge na uwaziri na ndivyo itakavyokuwa baada ya ubunge
Tusimsimange
 
"Ninalima,
Ninafuga,
Nina kampuni ya usafirishaji,
Nina Chuo cha afya"
Alisikika mpambanaji huyo akisema kuwaambia vijana kuwa ni muda wao kufikiria nje ya box.
Angeongeza 'Nina uwezo wa kukopeshwa Bank mil Mia tano'. Sie ambayo ukipata mkopo mil 1 ndio kiwango cha juu acha tufikirie ndani ya pipa maana box ni dogo.
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!

Safari ndiyo kwanza inaanza. Uzoefu unaonesha kuwa watanaokuwepo mpaka mwisho wa safari ni wachache sana. Wengi watatemwa katikati ya safari na wengine walioachwa nje kwa sasa watanufaika na recycling program!
 
Zito Kabwe katajirikia Ufisadi na wizi wa Ubunge na hajawahi kuwa Waziri, ana hela mpaka anaanzisha Chama cha Siasa na kukiendesha, ...
Alikuwa Mwenyekiti wa kamati nyeti, ndio alikopiga pesa huko..

Sasa huyu alikuwa Waziri lakini anakopa bodaboda za million 40 sasa ameshushwa mpaka ubunge sijui itakuwaje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…