johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Analea mapacha wake!Wapi wa kudadavuliwa?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analea mapacha wake!Wapi wa kudadavuliwa?!
Vado wananchi wamemuajiri. Bata kwa kwrnda kwa DeujAliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi kinaitwaje chuo chake huyu"Ninalima,
Ninafuga,
Nina kampuni ya usafirishaji,
Nina Chuo cha afya"
Alisikika mpambanaji huyo akisema kuwaambia vijana kuwa ni muda wao kufikiria nje ya box.
🤣 🤣 🤣 ila jamaa anadharau sana yule niliwahi kukutana nae muhimbili alichotufanyia na Marehemu Mzee alikuwa anatakiwa apate huduma siatamsahau, ila nimemsamehe kabisaa.Mo anamsubiri wamalize sakata la Simba
Dah..IseeAliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Atawezaje kufikiria nje ya box wakati yeye mwenyewe ndio box?
Analea mapacha wake!
Kweli kabisa, tena bado ni mbunge.Kigwangala ameshatoka huko kwenye kujiajiri kitambo sana kwa sasa yeye mwenyewe ameajiri na anaajiri.
Hapa alipata dhahma gani tena
[emoji23][emoji23]Atawezaje kufikiria nje ya box wakati yeye mwenyewe ndio box?
Angeongeza 'Nina uwezo wa kukopeshwa Bank mil Mia tano'. Sie ambayo ukipata mkopo mil 1 ndio kiwango cha juu acha tufikirie ndani ya pipa maana box ni dogo."Ninalima,
Ninafuga,
Nina kampuni ya usafirishaji,
Nina Chuo cha afya"
Alisikika mpambanaji huyo akisema kuwaambia vijana kuwa ni muda wao kufikiria nje ya box.
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Alikuwa Mwenyekiti wa kamati nyeti, ndio alikopiga pesa huko..Zito Kabwe katajirikia Ufisadi na wizi wa Ubunge na hajawahi kuwa Waziri, ana hela mpaka anaanzisha Chama cha Siasa na kukiendesha, ...
Katika hilo nakubaliana na wewe!Kigwa ni mzalendo Anapambana na ujanja ujanja pale simba. Huyu ni mwanasimba halisi analinda maslahi ya simba
Nimekuelewa bwashee!Alikuwa Mwenyekiti wa kamati nyeti, ndio alikopiga pesa huko..
Sasa huyu alikuwa Waziri lakini anakopa bodaboda za million 40 sasa ameshushwa mpaka ubunge sijui itakuwaje..