johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Hahahaaaa....... hahahaaaa..........!Angeongeza 'Nina uwezo wa kukopeshwa Bank mil Mia tano'. Sie ambayo ukipata mkopo mil 1 ndio kiwango cha juu acha tufikirie ndani ya pipa maana box ni dogo.
'Wanakula' wakiwa wana act as MP , nje ya ubunge ni waganga njaa kama wengine!Bado anakula za ubunge aisee si jobless kama mimi
Kafara limedunda, fake rituals!Mzee wa makafara
Kumbuka yeye ni mbungeAliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyelia baada ya kunyimwa mkopo wa pikipiki!Kumbuka yeye ni mbunge
😆😆😆Aliyelia baada ya kunyimwa mkopo wa pikipiki!
Ninasikia Jamaa baada ya Kuona 'Wa Poti' wake anamkubali 'akajiaminisha' kuwa na hili atakuwemo pamoja na 'Kuroga' mno tu, ila Kaliwa Kichwa.Yule Bwana aliwapigisha wenzio push-up Kama watoto wadogo. Leo hana amri yeyeto labda kumuamrisha mkewe
Mo Dewji nae ana 'Machale' kweli kweli kwani angethubutu tu Kutoa 'Tukutuku' zake na Kumpa akiutegemea Uwaziri alioutegemea ingekula Kwake.Rais ametumia busara kumpunguzia majukumu, ili apate nafasi ya kutumia TWITTER kujibizana na kuposti picha.
Mzaha au Siyo mzaha?........hahahaaaa!Yule Bwana aliwapigisha wenzio push-up Kama watoto wadogo. Leo hana amri yeyeto labda kumuamrisha mkewe
Na vile alivyo na 'haiba' ya Kupenda Kucheka mara kwa mara ninahisi tokea Jana hata hadi muda huu bado tu anamcheka 'Mkosaji' na 'Adui' yake.Kama namuona Dr Mwaka was foreplan
Naikumbuka hii, akawapigisha push up wazee na vitambi vyao.Mzaha au Siyo mzaha?........hahahaaaa!