Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Angeongeza 'Nina uwezo wa kukopeshwa Bank mil Mia tano'. Sie ambayo ukipata mkopo mil 1 ndio kiwango cha juu acha tufikirie ndani ya pipa maana box ni dogo.
Hahahaaaa....... hahahaaaa..........!
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbuka yeye ni mbunge
 
Be nice to people when you climb up, because you might meet them when you climb down. Hata rais alisema hivi vitu ni temporary. Hata uhai ni temporary.

Maana kutokuwepo au kutokuwa na uhai (yaani kabla ya kuzaliwa na baada ya kufa) kunachukua kipindi kikubwa cha wakati, kuliko tunavyokuwa hai (year 0 to even 100+).

Hata Methuselah ambaye aliishi miaka 970 naye kutokuwepo kwake ni muda mrefu mno. Hivyo tuwe tukifanya mema kwa kipindi hiki kufupi tulichojaaliwa kuwepo duniani.
 
Back
Top Bottom