Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Mimi nisingekubali fedhea hio ningeondoka na meno yake.Yaani huyu mbunge wangu akinikera sana kwa tukio hili, siku ya sherehe, pass out mbele ya familia zao unawarusha kichura. Shenzi sana.
Kuna mwingine yule alikuwa anavamia misosi na kupima kwa rula,,,yaani kumbe rais wetu mpole aisee ,alikuwa anawachora tu na kuseema,,hiiiiiiiiiBe nice to people when you climb up, because you might meet them when you climb down.
Hata rais alisema hivi vitu ni temporary. Hata uhai ni temporary. Maana kutokuwepo au kutokuwa na uhai (yaani kabla ya kuzaliwa na baada ya kufa) kunachukua kipindi kikubwa cha wakati, kuliko tunavyokuwa hai (year 0 to even 100+). Hata Methuselah ambaye aliishi miaka 970 naye kutokuwepo kwake ni muda mrefu mno. Hivyo tuwe tukifanya mema kwa kipindi hiki kufupi tulichojaaliwa kuwepo duniani.
Mmemuandama sana aisee, aliwafanya nini?Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
HahaaaaaaaKuna mwingine yule alikuwa anavamia misosi na kupima kwa rula,,,yaani kumbe rais wetu mpole aisee ,alikuwa anawachora tu na kuseema,,hiiiiiiiii
HII IMEKAA KIUMBEYA UMBEYA ZAIDI🤣🤣🤣Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Kuna mwingine yule alikuwa anavamia misosi na kupima kwa rula,,,yaani kumbe rais wetu mpole aisee ,alikuwa anawachora tu na kuseema,,hiiiiiiiii
Mlianza kutabiri atakuwa mbunge kigamboni then atapewa uwaziri wa Ulinzi, alipopigwa chini mkasema atateuliwa ubunge then atapewa uwaziri, kapigwa chini tena! Now mmehamia kwenye uenezi!! Nyie jamaa hamchoki kupiga ramli. Kiufupi chama makini kama ccm hawawezi kumpa cheo kikubwa kama hicho mtu mwenye tabia kama zake, atakiangusha chama kwa muda mfupi sanaKatibu mwenezi wa CCM ajaye
Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Ameanza Kulaumiana na Kuwalaumu 'Waganga' wake kwani walimuaminisha mno kuwa iwe isiwe lazima atakuwepo lakini 'Mkemia' Kamla Kichwa.Huko tweeter anasemaje?Maana wengine hatuna vpn
Nitawadharau CCM na hata pia kuwaona ni 'Machizi' kama wakimteua Yeye katika hiyo Nafasi na ninavyowajua CCM 'hawatothubutu' Kumpa Yeye.Katibu mwenezi wa CCM ajaye
Ana Sifa zilizopitiliza, Dharau isiyotakiwa. Kiherehere na ni mpenda Ushirikina sana hadi hata mwenye Dhamana ya Ushirikina Lucifa anamshangaa.Mmemuandama sana aisee, aliwafanya nini?
Kama Mshabiki Mpumbavu ( Popoma ) tu.Na kwenye timu ya simba yupo kama nani sasa
Hata huyo mke itategemea,ukute yeye ndo ana amrishwa.Yule Bwana aliwapigisha wenzio push-up Kama watoto wadogo. Leo hana amri yeyeto labda kumuamrisha mkewe