Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Kigwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni wakati kuapply kigwanomics nje ya boxer[emoji14][emoji14][emoji1787][emoji3577]
 
Be nice to people when you climb up, because you might meet them when you climb down.
Hata rais alisema hivi vitu ni temporary. Hata uhai ni temporary. Maana kutokuwepo au kutokuwa na uhai (yaani kabla ya kuzaliwa na baada ya kufa) kunachukua kipindi kikubwa cha wakati, kuliko tunavyokuwa hai (year 0 to even 100+). Hata Methuselah ambaye aliishi miaka 970 naye kutokuwepo kwake ni muda mrefu mno. Hivyo tuwe tukifanya mema kwa kipindi hiki kufupi tulichojaaliwa kuwepo duniani.
Kuna mwingine yule alikuwa anavamia misosi na kupima kwa rula,,,yaani kumbe rais wetu mpole aisee ,alikuwa anawachora tu na kuseema,,hiiiiiiiii
 
Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
Mmemuandama sana aisee, aliwafanya nini?
 
Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.
HII IMEKAA KIUMBEYA UMBEYA ZAIDI🤣🤣🤣

NINA MASHAKA KUNA MTU KADUKUA ACCOUNT YAKO 🤣🤣🤣 GENTAMYCINE HUWA HAPOST NYUZI ZA "kidaku " kama hizi!🤣🤣🤣
 
Kuna mwingine yule alikuwa anavamia misosi na kupima kwa rula,,,yaani kumbe rais wetu mpole aisee ,alikuwa anawachora tu na kuseema,,hiiiiiiiii

Haaa kweliii.
Lkn kakijana kalikuwa kanafanya kazi sana.
 
Katibu mwenezi wa CCM ajaye
Mlianza kutabiri atakuwa mbunge kigamboni then atapewa uwaziri wa Ulinzi, alipopigwa chini mkasema atateuliwa ubunge then atapewa uwaziri, kapigwa chini tena! Now mmehamia kwenye uenezi!! Nyie jamaa hamchoki kupiga ramli. Kiufupi chama makini kama ccm hawawezi kumpa cheo kikubwa kama hicho mtu mwenye tabia kama zake, atakiangusha chama kwa muda mfupi sana
 
Jamani tunapokuwa 'Mawaziri' tuepuke sana 'Kujisahau' huku 'tukiwadharau' Watu wote na kujiona ya kwamba 'tumeshafika' na 'kuyapatia' Maisha.

Na kwenye timu ya simba yupo kama nani sasa
 
Dogo alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya serikali Meko amemchinja mapema ili Jafo aje kuwa raisi 2025 I guess
 
Cheti chake cha darasa la saba anatumia jina la SAID BAGAILE ukienda shule ya msingi KITONGO iliyopo pale nzega town utakutana na jina hilo na ndilo alilomaliza nalo primary lakn ghafla anaitwa HK

Alisoma na naibu wazir wa kilimo yule msomali darasa moja analijua hili juu ya majina yake
 
Back
Top Bottom