Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

Kiherehere chote hiki cha hadi Kutaja Majina ya Watu hapa umekitoa wapi? Hivi mkikuta 'Uzi' ni wa Mafumbo nanyi hamuwezi Kuendelea Kufumba?

Mzee mbona Povu linakutoka ova umekalia ukuni..!!!
 
Mkufunzi : Unata kazi au hutaki?

Kuruta. : Nataka afande.

Mkufunzi : Inama (piga push-up ).
 
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali.

Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.

Maendeleo hayana vyama!
Vaitaa,mwarobaini au shubiri/alovera Ni chungu lkn vinatibu.Ukifikiri nje ya box utachukua hilo wazo la kujiajiri unaanza hatua ndogo Sana na utashangaa unaenda stage nyingine ya mafanikio.
Pili, sidhani km kigwangala yuko ktk Levo za kulia njaa au kuongea lugha moja na vijana.Alishakua Waziri, ni mbunge una nn cha kujilinganisha na yeye.Ana maisha ambayo pengine we na mm tutabaki kuyaona kwa wengine hadi kifo.Kufikiri HK ni mwenzetu ni ulofa mkubwa.
 
Hawezi kuongea lugha moja na vijana waliopo kijiweni. Huyu bado ni mbunge. Mpunga na marupurupu monthly hakosi 10M+. Anakopesheka bank. Lots of advantages.
Chuki zinafanya watu tuwe wapumbavu sana.
Kigwa sio wa level ya kuajiriwa..
Yeye ndio anaajiri. Amefanya hivyo kabla ya siasa na atafanya hivyo baada ya siasa.
Kwanza tukubali kwamba kupata ubunge ndani ya CCM ni kielelezo cha financial muscles alizonazo ukizingatia mifumo iliyokuwepo wakati anaingia bungeni mara ya kwanza.
Kama mtu anaweza kununua pkpk 100 au 200 kwa mpigo baada ya kunyimwa mkopo... tena pikipiki zenyewe ananunua za kuhonga alinde ubunge na sio mradi. Tujue kuwa huyo sio wa level ya kutafuta ajira kama graduates... na hata akitaka hiyo ajira ikitokea kafilisika bado yeye ni daktari plus mkewe ni daktari pia.
 
KIGWA kwani ndio umeiona Leo hii post?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…