bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Kiherehere chote hiki cha hadi Kutaja Majina ya Watu hapa umekitoa wapi? Hivi mkikuta 'Uzi' ni wa Mafumbo nanyi hamuwezi Kuendelea Kufumba?
Mzee mbona Povu linakutoka ova umekalia ukuni..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiherehere chote hiki cha hadi Kutaja Majina ya Watu hapa umekitoa wapi? Hivi mkikuta 'Uzi' ni wa Mafumbo nanyi hamuwezi Kuendelea Kufumba?
Hata mimi big NO.Mimi nisingekubali fedhea hio ningeondoka na meno yake.
Hovyo kabisa asahau ndoto za kuwa raisi labda wa waganga
Hahaha hili jibuHizi ndizo 'Nyege' nisizozitaka. Kwahiyo unadhani hao Wote waliokutangulia Kuchangia huu Uzi hawamjui na kwamba Wewe ndiyo uliyemjua upesi?
Alijitahidi sana kupiga nyanga na bado anahangaika kupindua meza kibabe.Ninasikia Jamaa baada ya Kuona 'Wa Poti' wake anamkubali 'akajiaminisha' kuwa na hili atakuwemo pamoja na 'Kuroga' mno tu, ila Kaliwa Kichwa.
Vaitaa,mwarobaini au shubiri/alovera Ni chungu lkn vinatibu.Ukifikiri nje ya box utachukua hilo wazo la kujiajiri unaanza hatua ndogo Sana na utashangaa unaenda stage nyingine ya mafanikio.Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Chuki zinafanya watu tuwe wapumbavu sana.Hawezi kuongea lugha moja na vijana waliopo kijiweni. Huyu bado ni mbunge. Mpunga na marupurupu monthly hakosi 10M+. Anakopesheka bank. Lots of advantages.
KIGWA kwani ndio umeiona Leo hii post?Chuki zinafanya watu tuwe wapumbavu sana.
Kigwa sio wa level ya kuajiriwa..
Yeye ndio anaajiri. Amefanya hivyo kabla ya siasa na atafanya hivyo baada ya siasa.
Kwanza tukubali kwamba kupata ubunge ndani ya CCM ni kielelezo cha financial muscles alizonazo ukizingatia mifumo iliyokuwepo wakati anaingia bungeni mara ya kwanza.
Kama mtu anaweza kununua pkpk 100 au 200 kwa mpigo baada ya kunyimwa mkopo... tena pikipiki zenyewe ananunua za kuhonga alinde ubunge na sio mradi. Tujue kuwa huyo sio wa level ya kutafuta ajira kama graduates... na hata akitaka hiyo ajira ikitokea kafilisika bado yeye ni daktari plus mkewe ni daktari pia.