Inawezekana kweli Makonda lifeline shuleni lakini bila kua na chuki nae jamaa ni mbunifu, jamaa ana akili. Popote alipokwenda kama kiongozi ameacha alama. Hili la festival ni akili kubwa sana, kumbuka Arusha ni mji/mkoa wa kitalii, mwamba kautangaza, kauonesha mkoa wake huko duniani. Atiwe moyo, Makonda ni KIONGOZI.