Ni zipi faida zilizopatikana kwa kufanyika kwa Arusha Land Rover Festival 2024

Ni zipi faida zilizopatikana kwa kufanyika kwa Arusha Land Rover Festival 2024

Arusha ni mji wa kitalii , uchumi wake unategemea watu kuingia na kutoka ...Kwa tamasha lile ni sahihi .
 
Nimeshakwanguana na hawa wadudu wa Arusha aisee
images (31).jpg
 
Arusha itarudi Tena kama mkoa/kitovu cha kuwaleta watalii wengi sana.Ni juhudi kubwa sana anafanya,Bado Kuna Balloon festival inakuja.Lazima watalii watakuja TU,kwa sisi wenyeji na wenye ndugu katika sekta hii tunaona na walau tunapewa vidola vya kubadili maana dola imeadimika mazee.Apewe maua yake tu
 
Inawezekana kweli Makonda lifeline shuleni lakini bila kua na chuki nae jamaa ni mbunifu, jamaa ana akili. Popote alipokwenda kama kiongozi ameacha alama. Hili la festival ni akili kubwa sana, kumbuka Arusha ni mji/mkoa wa kitalii, mwamba kautangaza, kauonesha mkoa wake huko duniani. Atiwe moyo, Makonda ni KIONGOZI.
 
Back
Top Bottom