Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

roselyn2

Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
86
Reaction score
388
Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku

Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha

Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa details kwanza! [emoji125][emoji125]
 
Chukua smartphone yako weka bando uwe online muda wote, nenda Kariakoo, piga picha bidhaa weka matangazo mitandaoni ongeza buku Tano Tano, uje unishukuru baadae. UAMINIFU NA UKWELI WA WAKO KUHUSU BIDHAA NDIO MTAJI WAKO MKUU wa biashara hii.
 
Kama mtaji wako ni mdogo tafuta sehem iliyochangamka nunua jiko la kuchomea nyama, kanunue kuku wa kisasa 10 itakuwa 70000 ukiuza utapata laki 100000 Faida 20000 na 10000 weka mkaa. unaweza ukaongeza na ndizi za kuchoma... tengeneza pilipili yako nzurii... uza kuku wa kuchoma na kapilipili saafi

Kuku mzima uza 10000 nusu 5000 ... mtu akitaka kidali 3000 kipaja 2000.
utapata 20000 yako saafi
 
Chukua smartphone yako weka bando uwe online muda wote, nenda kariakoo, piga picha bidhaa weka matangazo mitandaoni ongeza buku Tano Tano, uje unishukuru baadae. UAMINIFU NA UKWELI WA WAKO KUHUSU BIDHAA NDIO MTAJI WAKO MKUU wa biashara hii.
Hii biashara imevamiwa na watu wengi sn sasa hivi

Nikiangalia status za watu karibia 70% wanapost bidhaa za Kariakoo. Insonekana ni biashara nzuri ila inahitaji persistence na consistency ndy uje uone matunda yake
 
Tatizo unataka njia za mkato bila kujua kuna changamoto tofauti tofauti
 
👇👇Hapa ndy umepoteza maana nzima ya bandiko lako..kuomba watu waje pm umeonyesha haupo serias na biashara Ila unataka kufanya "biashara" huko pm
Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa details kwanza! [emoji125][emoji125]
 
Hujasema una mtaji kiasi gani sasa ili twende sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…