Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

Tafuta million 1½ nikuuzie ng'ombe wawili wa kisasa wa maziwa baada ya miezi kadhaa kila mmoja asubuhi anatoa maziwa lita 10 mara mbili ni lita 20 kila Lita unauza buku alafu unakamua asubuhi na jion
Kwahiyo kwa siku hukosi elfu 40
Elfu 40,000×30= 1,200,000 kwa mwezi
Tafuta kijana awe muangalizi wa ng'ombe mlipe vizuri laki 1 kwa mwezi we unabaki na 1,100,000 ni pesa ndefu tu unakula huku umekunja nne unaangalia Tv

Kama unaona kufuga ni kupoteza muda endelea kuvaa soksi na malapa na earphones maskioni huku unatafuta big G na kutembea na smartphone barabarani had upigie honi ndo upishe njia
Hii post imenichekesha sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sawa tuachane na hayo hao ngombe wako unawauzia wapi au mkoa gani?
 
Kama mtaji wako ni mdogo tafuta sehem iliyochangamka nunua jiko la kuchomea nyama, kanunue kuku wa kisasa 10 itakuwa 70000 ukiuza utapata laki 100000 Faida 20000 na 10000 weka mkaa. unaweza ukaongeza na ndizi za kuchoma... tengeneza pilipili yako nzurii... uza kuku wa kuchoma na kapilipili saafi

Kuku mzima uza 10000 nusu 5000 ... mtu akitaka kidali 3000 kipaja 2000.
utapata 20000 yako saafi
Umempa idea nzuri sema umerahizisha sana
Kuna mkaa, jiko, good location , sehemu ya kuhifadhia hizo vifaa, karai,mafuta, pilipili, na transport cost ...nk
 
Kubet

Ukiwa na mtaji wako wa 10K ukatafuta odds 3 za uhakika hukosi 20K
Yaa kabsa iyo 50k yako chukua 20k mtaji unabaki na 30k kama risk management fund... 20k weka mikeka miwili ya odd 2+ za uhakika kila mkeka mmoja unakuwa na 10k faida means umeshatengeneza 20k kwa siku 20k mara mwezi mmoja ni 600k per month....

Ila angalizo pata kujua kwanza how utapata izo 2+ odds na the more unaweka dau kubwa ndo the more unapata na achana na mtu akuambie njoo nikuuzie odds ni scamming game utapoteza mtaj wako wote
 
Tafuta million 1½ nikuuzie ng'ombe wawili wa kisasa wa maziwa baada ya miezi kadhaa kila mmoja asubuhi anatoa maziwa lita 10 mara mbili ni lita 20 kila Lita unauza buku alafu unakamua asubuhi na jion
Kwahiyo kwa siku hukosi elfu 40
Elfu 40,000×30= 1,200,000 kwa mwezi
Tafuta kijana awe muangalizi wa ng'ombe mlipe vizuri laki 1 kwa mwezi we unabaki na 1,100,000 ni pesa ndefu tu unakula huku umekunja nne unaangalia Tv

Kama unaona kufuga ni kupoteza muda endelea kuvaa soksi na malapa na earphones maskioni huku unatafuta big G na kutembea na smartphone barabarani had upigie honi ndo upishe njia

Msaada huku unapigwa spana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom