Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

[emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi ni msomaji tu,

Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku

Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17]

Nsaidieni mawazo, lo!

Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha

Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa details kwanza! [emoji125][emoji125]
Kwanini uhofu kodi

Ni bora ujenge tu nyumba yako
 
Laki moja ya majaribio [emoji23][emoji23] najua kuna kufeli, lakini hata laki mbili sawa
Ok biashara ya ma apple na ubuyu wa babu isa inakufaa kwa siku inazidi hyo faida unayotaka.
 
Tafuta million 1½ nikuuzie ng'ombe wawili wa kisasa wa maziwa baada ya miezi kadhaa kila mmoja asubuhi anatoa maziwa lita 10 mara mbili ni lita 20 kila Lita unauza buku alafu unakamua asubuhi na jion
Kwahiyo kwa siku hukosi elfu 40
Elfu 40,000×30= 1,200,000 kwa mwezi
Tafuta kijana awe muangalizi wa ng'ombe mlipe vizuri laki 1 kwa mwezi we unabaki na 1,100,000 ni pesa ndefu tu unakula huku umekunja nne unaangalia Tv

Kama unaona kufuga ni kupoteza muda endelea kuvaa soksi na malapa na earphones maskioni huku unatafuta big G na kutembea na smartphone barabarani had upigie honi ndo upishe njia
 
Niko siti ya nyuma dirishani naskilizia michongo, nina buku mfukoni [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mzee ina maana hao ng'ombe hawali, mbona hujaweka gharama ya chakula na matibabu?
Tafuta million 1½ nikuuzie ng'ombe wawili wa kisasa wa maziwa baada ya miezi kadhaa kila mmoja asubuhi anatoa maziwa lita 10 mara mbili ni lita 20 kila Lita unauza buku alafu unakamua asubuhi na jion
Kwahiyo kwa siku hukosi elfu 40
Elfu 40,000×30= 1,200,000 kwa mwezi
Tafuta kijana awe muangalizi wa ng'ombe mlipe vizuri laki 1 kwa mwezi we unabaki na 1,100,000 ni pesa ndefu tu unakula huku umekunja nne unaangalia Tv

Kama unaona kufuga ni kupoteza muda endelea kuvaa soksi na malapa na earphones maskioni huku unatafuta big G na kutembea na smartphone barabarani had upigie honi ndo upishe njia
 
Kubet

Ukiwa na mtaji wako wa 10K ukatafuta odds 3 za uhakika hukosi 20K

Hadi wewe wajua kubet[emoji23][emoji23][emoji23]

Juzi nimeenda tip top Bar asubuhi kunywa supu nimekaa pale baona wazee wanne wako kwenye meza na list ya mechi wanachambua odds[emoji23][emoji23]
 
Ukiwa na mtaji wa 10k hukosi faidi ya 20k kwa siku njoo Dm
 
Mzee ina maana hao ng'ombe hawali, mbona hujaweka gharama ya chakula na matibabu?
Hujagutuka kama huyo katumia style ya motivational speaker? Yaani uwekeze 1.5M halafu kila mwezi upate 1M plus?? hiyo kila mtu angefanya
 
Back
Top Bottom