Tafuta million 1½ nikuuzie ng'ombe wawili wa kisasa wa maziwa baada ya miezi kadhaa kila mmoja asubuhi anatoa maziwa lita 10 mara mbili ni lita 20 kila Lita unauza buku alafu unakamua asubuhi na jion
Kwahiyo kwa siku hukosi elfu 40
Elfu 40,000×30= 1,200,000 kwa mwezi
Tafuta kijana awe muangalizi wa ng'ombe mlipe vizuri laki 1 kwa mwezi we unabaki na 1,100,000 ni pesa ndefu tu unakula huku umekunja nne unaangalia Tv
Kama unaona kufuga ni kupoteza muda endelea kuvaa soksi na malapa na earphones maskioni huku unatafuta big G na kutembea na smartphone barabarani had upigie honi ndo upishe njia