Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Danganyika tu 😀Kuna mtu nmekutana nae mtandaoni kanambia we ikifika muda kasomee then nicheki ntakusaidia kwasababu hata mimi nipo
Ni ujuzi gani unahitajika na waajiriMaisha sio mepesi kiasi hicho 70% ya vijana wasingekuwa wanakosa ajira .ww tafuta ujuzi unaohitajika sana na waajiri Kahana sana kuujua Kisha nenda kajitolee uwezo wako ndo connection kuu
1. IT -ujuzi wa kusimamia financial software na kuzilinda dhidi ya hickers.Ni ujuzi gani unahitajika na waajiri
Asante sana1. IT -ujuzi wa kusimamia financial software na kuzilinda dhidi ya hickers.
2.Ujuzi wa marketing field .nenda kwa mwenye kiwanda mwambie staki mshahara ila nipe power ya kukufanyia marketing kila mfuko mfano wa gypsum aseme akupe tshs 200 .mwambie wakisha deposit tu unachukua chako Kisha ww unazurula kwa wajenzi .
3.branding omba appointment na tajir wa kampuni .Kisha mtengenezee proposal utavoipa umaarufu kampuni yake Kisha muelezee kwa kutumia power point.
.ukichambua cost kwa details
Zama za waajiri kuogopa vyet imeisha kwa mo mhasibu wa kawaida mwenye degree analipwa laki 4 sababu mtaani wenzie 10000 wanauza chips
haha mkuu magari madg kesho hakawii kuja kulaum.Piga umeme wa Magari kisha uwekeze nguvu kwenye magari makubwa. Ukiweza vizuri unaweza ukaacha namba kwenye kijiwe chako kama ni Mbagala ETG, Kurasini,Tabata,Mchicha,Mbezi watu watakutafuta kulingana na ubobezi.
Raha ya trucks ukirekebisha inaondoka mazima, sio sawa na wateja wa gari ndogo kesho anageuka kulalamika.
Hii ya kutwa tunaipata vipi mkuu?Bora uende Veta Chang'ombe ukasome umeme wa Magari.
Hiyo forklift saizi watu kibao wamesoma, kwa bandarini labda uhakika ni kuingia kama mfanyakazi wa kutwa.
Unapeleka maombi Ofisi za Suma JKT Port, zipo maeneo karibu na Geti namba 3 la Bandari au Mkabala na NHIF Temeke Zone barabara ya Bandari/Shimo la Udongo.Hii
Hii ya kutwa tunaipata vipi mkuu?
Asante sana kesho nitaenda niangalie kama naweza pataUnapeleka maombi Ofisi za Suma JKT Port, zipo maeneo karibu na Geti namba 3 la Bandari au Mkabala na NHIF Temeke Zone barabara ya Bandari/Shimo la Udongo.
Suma JKT wao ndio huingiza wafanyakazi wa kutwa kulingana na uhitaji wa siku wanaopewa na Bandari
Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
Kazi za kutwa ni zip?Unapeleka maombi Ofisi za Suma JKT Port, zipo maeneo karibu na Geti namba 3 la Bandari au Mkabala na NHIF Temeke Zone barabara ya Bandari/Shimo la Udongo.
Suma JKT wao ndio huingiza wafanyakazi wa kutwa kulingana na uhitaji wa siku wanaopewa na Bandari