Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
D.I.T, opposite na City-Mall (Morogoro road) Njia panda ya kwenda PostalOkayy kwa sasa nlikua natamani pia kusoma Graphic designing ila sijui hii kozi nitaisomea wapi hasa kwa vitendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
D.I.T, opposite na City-Mall (Morogoro road) Njia panda ya kwenda PostalOkayy kwa sasa nlikua natamani pia kusoma Graphic designing ila sijui hii kozi nitaisomea wapi hasa kwa vitendo
Nimeenda hapo wamesema kwa sasa hawachukui wafanyakazi wapya mpaka wakitangaza mwakani, au ni connection ndio unaingia kule na kama kuna kampuni nyingine naomba nisaidie chiefUnapeleka maombi Ofisi za Suma JKT Port, zipo maeneo karibu na Geti namba 3 la Bandari au Mkabala na NHIF Temeke Zone barabara ya Bandari/Shimo la Udongo.
Suma JKT wao ndio huingiza wafanyakazi wa kutwa kulingana na uhitaji wa siku wanaopewa na Bandari
Ukarani,usafi, madereva magari,forklift, Terminal Trucks (TT) na ufundi katika idara tofauti.Kazi za kutwa ni zip?
Ndio ipoReachstaker,crane operator inshort kozi za kuendesha mitambo yaan but lazima uwe na valid driving license kwanza