Unapeleka maombi Ofisi za Suma JKT Port, zipo maeneo karibu na Geti namba 3 la Bandari au Mkabala na NHIF Temeke Zone barabara ya Bandari/Shimo la Udongo.
Suma JKT wao ndio huingiza wafanyakazi wa kutwa kulingana na uhitaji wa siku wanaopewa na Bandari