Ni zipi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Best Student Chuo Kikuu?

Wanaingia aisee na jamaa yangu alipewa laptop baada ya kuwa best student wa udsm Ila alitokea MUCE
Ndio ni udsm lakini hushindanishwa na walimu wenzake huko huko duce ,pia muce hutoa kipanga wao huko huko iringa, na main campus wanajitegemea kivyao
 
Umezungumza sahihi sana. Nadhani huyu bwana anataka kuchanganya mambo hapa.
 
Okay may be labda sijui vizuri, that is what I was told by rafiki wa huyo jamaa. Kamaliza 2017/2018
Duce na muce college hizo ni waalimu tupu halafu sio wengi kivilee hata kupata kipanga kunaunafuu kidogo, tofauti na main campus kuna college kibao coet, conas, coaf, law,udbs, coict, coss, coaf, nk sasa hapo kumpata kipanga ni shughuli nzito, na kila mwaka hutangazwa soo sijui huyo jamaa alikuwa wapi na kaambiwa na nani kuwa yeye ndio kaongoza
 
Habari watanzania,leo nimekuja na hili swali,maana limenichanganya kidogo.Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT.Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi huzingatiwa kumpata BEST STUDENT chuo kikuu,kwa mimi ninavyojua ni GPA iwe kali kushinda wenzako wote.Ahsanteni
Umeingia kwenye Aris za wengine?
 
Watu mnaongea udsm mbona ardhi university zinatoka 4.9 GPA kibaoo tuuu na msuli wa pale si wa ki pisi kaliii hahahahah .Tembeeni muoneeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ardhi university kwa udsm ni kama duce au muce, kuna siku nilikutana na prospectus ya udsm ya kitambo kweli nadhani 2000 , nikaanza kusoma sii nikakuta eti ardhi university lilikuwa tawi la udsm kipindi hiko inautwa sijui uclas
 
. Kudadeki now ni chuo kikuuu kamili .
 
Hapo kasema UDBS. Unaelewa maana ya UDBS?? Maana mnapenda kuchangia bila kujua maana
We ndo kiazi , kwamba University of Dar es salaam Best Students wote wanapaswa kwenda BOT kila mwaka hata kama katoka kozi ya petroleum au engineering. Soma alichoandika huyo niliyem-quote sio unakurupuka mkuu.
 
Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT. Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi huzingatiwa kumpata BEST STUDENT chuo kikuu,kwa mimi ninavyojua ni GPA iwe kali kushinda wenzako wote.
Ahsanteni
UDBS kuongoza UDSM makubwa sijawai sikia ndio nasikia kwako mkuu. Kwamba UDBS huyu huyu kawaacha Tanzania one wa COET waliopiga vijiti vya 3 Form six, kawaacha watu wa GEOLOGY kule?
 
Watu mnaongea udsm mbona ardhi university zinatoka 4.9 GPA kibaoo tuuu na msuli wa pale si wa ki pisi kaliii hahahahah .Tembeeni muoneeee
[emoji23][emoji23][emoji23] ardhi university kwa udsm ni kama duce au muce, kuna siku nilikutana na prospectus ya udsm ya kitambo kweli nadhani 2000 , nikaanza kusoma sii nikakuta eti ardhi university lilikuwa tawi la udsm kipindi hiko inautwa sijui uclas
Sipendi huu mtindo wa kukiona kama chuo ulichosoma ni chako kwasababu umesoma hivi ni vyuo vya public.

na huu mtindo wa kuona chuo ulichosoma kuna msuri kuliko kingine ni utoto.
 
We ndo kiazi , kwamba University of Dar es salaam Best Students wote wanapaswa kwenda BOT kila mwaka hata kama katoka kozi ya petroleum au engineering. Soma alichoandika huyo niliyem-quote sio unakurupuka mkuu.
ulichoandika huoni aibu kwani umekurupuka wamekuelekeza bado unakurupuka bila kujua umekosea wapi

soma alichoandika mtu kabla ya kujibu
 
We ndo kiazi , kwamba University of Dar es salaam Best Students wote wanapaswa kwenda BOT kila mwaka hata kama katoka kozi ya petroleum au engineering. Soma alichoandika huyo niliyem-quote sio unakurupuka mkuu.
Mbona uliyem_quote amesema kua ni best student wa UDBS au una makengeza mzee wangu.
 
UDBS kuongoza UDSM makubwa sijawai sikia ndio nasikia kwako mkuu. Kwamba UDBS huyu huyu kawaacha Tanzania one wa COET waliopiga vijiti vya 3 Form six, kawaacha watu wa GEOLOGY kule?
Kwa akili yako finyu unadhani huko udbs hakunaga waliopiga vijiti vya 3?
 
Mkuu, mwanafunzi aliyehitimisha masomo yake, miaka mitatu au minne n.k GPA yake inayozungumzwa huwa ni ''cumulative GPA'' (GPA jumuishi) inayojumuisha matokeo ya miaka yote.

Kwahiyo anayosema mdogo wake ana 4.7 anamaanisha ni overall GPA.
Basi kama ni hivyo dogo atakuwa kapitwa na muhuni mwenye 4.8
 
Kwa akili yako finyu unadhani huko udbs hakunaga waliopiga vijiti vya 3?
Ni kweli DSM kuna maghorofa na mazuri lakini New York yapo mengi na bora zaidi kuzidi DSM.

Nilichoandika hakihusiani na mada nimejiandikia tu.
 
Back
Top Bottom