Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka nje Angalia juu ya anga alafu sema mimi nimshindi, mimi niwajuu.acha dharau dogo mimi ninauwezo wa kuwalisha wewe na ukoo wako wote kwa miaka minne kwa pesa yangu nayo ingiza kwa mwezi t
Unataka nikuajiriToka nje Angalia juu ya anga alafu sema mimi nimshindi, mimi niwajuu.
Hesabu za sequence and series ulipata ngapi!?Hesabu za wastani ulipata ngapi.
Maliza shule.. kwanza ujue u best performer sio connection huku wenye 2.12380 wakiinjoi digit sita kazinikuwa mtaani haimaanishi kuwa kuwa best performer si connection mkuu.
minilipiginga mawazo yakudhani kulilia u best performer ni kama haina faida ni sifa tu kitu ambacho sikweli kuwa best performer apart from sifa pia ina act kama connection.
Boss kuwa na connection sio maanayake ndio 100% unapata ajira kuna factors nyingi pia na yote kwa yote mapenzi ya Mungu kupata kazi uwelewe hiko lakini richa ya yote hii haimaanishi kuwa kitu fulani sio kwasababu ya matokeo fulani hii ni sawa tu GPA kubwa ni ananafasi kubwa ya kupata ajira hii haina maana kuwa wenye GPA kubwa wote watapata ajira na wa ndogo msugua kuna wenye GPA ndogo kibao wana ajira na kuna Dozen ya walio na GPA kubwa hawanayote ni kutokana factors zipo nyingi sana ni vyema kuwa na factors nyingi za kupata ajira....Maliza shule.. kwanza ujue u best performer sio connection huku wenye 2.12380 wakiinjoi digit sita kazini
Ndio maana nakuambia maliza shule Uje ujionee.. Hawatahitaji hata vyeti vyako.Boss kuwa na connection sio maanayake ndio 100% unapata ajira kuna factors nyingi pia na yote kwa yote mapenzi ya Mungu kupata kazi uwelewe hiko lakini richa ya yote hii haimaanishi kuwa kitu fulani sio kwasababu ya matokeo fulani hii ni sawa tu GPA kubwa ni ananafasi kubwa ya kupata ajira hii haina maana kuwa wenye GPA kubwa wote watapata ajira na wa ndogo msugua kuna wenye GPA ndogo kibao wana ajira na kuna Dozen ya walio na GPA kubwa hawanayote ni kutokana factors zipo nyingi sana ni vyema kuwa na factors nyingi za kupata ajira....
So best performer ni moja ya factor inayokupanulia connection siku kama ya Graduation kuna wadau kibao sana wa taasisi wanahudhuria na kuwa announced Best performer kwenye Account na pale kuna ma manager wa Banks nk ni loop hole inabidi umakinike na mzizi wa hoja sio kuja kunambia tu kuna wa 2 wanaenjoy kwani hakuna wa 4 wanao enjoy hizo digit.
Pumbaf bichwa zito kama kimbaNdio maana nakuambia maliza shule Uje ujionee.. Hawatahitaji hata vyeti vyako.
Nina Mwaka wa pili kazini lakini sijawahi ulizwa vyeti. Zaidi sana walitaka tu CV.
Sema kama bado upo shule soma.. uelewe unachokisoma uje uki apply maishani.. ila usije na mentality kwamba ukiwa na gpa kubwa uko na guarantee ya kazi.
Good luck.
Mzee wako angejua angetumia condom kuliko kuzaa zezeta la aina yako.Pumbaf bichwa zito kama kimba
Huyu kauthar kasoma st Joseph cathedral high school pale posta kamaliza mwaka 2017 nadhani ni moto wa kuotea. Mbali asee demu ni kichwa balaaa alafu pisi kali sasa loooooh 😑🤣🤣Kimsingi kigezo kikuu cha mwanafunzi bora kitaaluma ni GPA.
Endapo kutatokea mfanano wa GPA basi wanaangalia ''raw marks'' ambapo mwenye nyingi ndiye anapewa ushindi.
Kumbuka kwamba A ya 72 na 95 zina uzito sawa kwenye GPA lakini kwenye ''raw marks'' mwenye A ya 95 anahesabika kwamba ni mkali kuliko yule wa 72.
Maswali yangu kwako:
1. Umejuaje kwamba mdogo wako alikua na GPA kubwa kuliko wanafunzi wengine waliohitimu pamoja nae mwaka huu hapo UDBS ?
2. Mwanafunzi bora wa mwaka huu wa duru ya 4 (cluster 4) inayomuisha UDBS, CoHU, CoSS, SoED, IKS, IDS, UDSoL, SJMC aitwaye Kauthar S. Salum (kutoka UDBS) alipata GPA ya ngapi ?
ahsante.
Chuo Cha kata hichoNakumbuka nilipata 4.3 UDOM nikatangazwa best student sikuamini😂😂