Ni zipi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Best Student Chuo Kikuu?

issue nzima nahisi ni marks,ila asihuzunike kila mtu ana fungu lake aliloandaliwa..

kuna wengine wanakuwa best student at university,huku wengine wanakuwa best student kwenye field!
maisha yanabadilika sana.
 
kuwa mtaani haimaanishi kuwa kuwa best performer si connection mkuu.

minilipiginga mawazo yakudhani kulilia u best performer ni kama haina faida ni sifa tu kitu ambacho sikweli kuwa best performer apart from sifa pia ina act kama connection.
Maliza shule.. kwanza ujue u best performer sio connection huku wenye 2.12380 wakiinjoi digit sita kazini
 
Maliza shule.. kwanza ujue u best performer sio connection huku wenye 2.12380 wakiinjoi digit sita kazini
Boss kuwa na connection sio maanayake ndio 100% unapata ajira kuna factors nyingi pia na yote kwa yote mapenzi ya Mungu kupata kazi uwelewe hiko lakini richa ya yote hii haimaanishi kuwa kitu fulani sio kwasababu ya matokeo fulani hii ni sawa tu GPA kubwa ni ananafasi kubwa ya kupata ajira hii haina maana kuwa wenye GPA kubwa wote watapata ajira na wa ndogo msugua kuna wenye GPA ndogo kibao wana ajira na kuna Dozen ya walio na GPA kubwa hawanayote ni kutokana factors zipo nyingi sana ni vyema kuwa na factors nyingi za kupata ajira....

So best performer ni moja ya factor inayokupanulia connection siku kama ya Graduation kuna wadau kibao sana wa taasisi wanahudhuria na kuwa announced Best performer kwenye Account na pale kuna ma manager wa Banks nk ni loop hole inabidi umakinike na mzizi wa hoja sio kuja kunambia tu kuna wa 2 wanaenjoy kwani hakuna wa 4 wanao enjoy hizo digit.
 
Ndio maana nakuambia maliza shule Uje ujionee.. Hawatahitaji hata vyeti vyako.

Nina Mwaka wa pili kazini lakini sijawahi ulizwa vyeti. Zaidi sana walitaka tu CV.

Sema kama bado upo shule soma.. uelewe unachokisoma uje uki apply maishani.. ila usije na mentality kwamba ukiwa na gpa kubwa uko na guarantee ya kazi.

Good luck.
 
Ngoja niweke siti make naona lugha gongana hapa
 
Pumbaf bichwa zito kama kimba
 
Huyu kauthar kasoma st Joseph cathedral high school pale posta kamaliza mwaka 2017 nadhani ni moto wa kuotea. Mbali asee demu ni kichwa balaaa alafu pisi kali sasa loooooh 😑🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…