DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,598
- 3,854
Yeye hayupo tayar bado mm niendeKwani Merry mwenyewe anasemaje?
Sasa unatusikiliza sisi waja wa JF au Merry mwenyewe? Tuanzie hapo kwani?Yeye hayupo tayar bado mm niende
Nilazima nipime, merry ni mchumba wangu anaumuhimu lakin hiyo haimaanishi kwamba sitakiwi kufanya maamuzi sahihiSasa unatusikiliza sisi waja wa JF au Merry mwenyewe? Tuanzie hapo kwani?
Nimuue?Mm nashauri umuue huyo Mercy
Sasa connection ipi na wakati process za kuapply zipo wazi kabisa na ni rahisiNenda botswana huko mkuu..
Bongo jau jau tuu l..
Na kama hutoenda huko basi we fanya kuni connect mimi....
Niende huko botswana
Nimeupokea ushauriOmba likizo,Fanya process za huko,nenda kaanze kazi ukiona patamu usirudi Kwa job ya government!
Kwa jinsi nilivokuliza mwenyej wangu huko anasema hiyo inatosha2.1 ugenini itatosha?
Connection mkuu!tujaribu madude ugenini!!Kwa jinsi nilivokuliza mwenyej wangu huko anasema hiyo inatosha
Umesomea nnConnection mkuu!tujaribu madude ugenini!!
Subiri kwanza Merry aongee na mpenzi wa moyo wake ndo arudi kukushauri. Anaweza kukuruhusu uende kama yeye na mpenzi wake wana maelewano kwa sasa.Wakuu habari za siku mingi.
Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane.
Merry yupo tunasonga na maisha.
Nimekuja leo naombani ushauri.
Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na nishaapply job na kufanya online interview huko nchini Botswana kupitia Ministry of child welfare ya Botswana.
Sasa Mungu akabariki nikapata job government sijakaa sawa wiki ilopita natumiwa email ya kwamba nimefanikiwa kupata post ya kazi huko Botswana na zimebak process chache na nahitajika pia niende embassy ya Botswana kwa ajili ya mambo ya visa na work permit.
Ila bado nasita kufanya maamuzi, mshahara wa Botswana ni around pula 11k sawa na 2.1m kama hivo na work permit ni kama 600k per year kwa kuanzia. Nina mchumba wangu Merry na nilikuwa nishaingia serikalini he nifanye maamuzi gani?
NdioNimuue?
Sasa km hili unalijua, shida iko wapi? Si ndo ufanye hayo maamuzi sahihu kadri ya hitaji lako.Nilazima nipime, merry ni mchumba wangu anaumuhimu lakin hiyo haimaanishi kwamba sitakiwi kufanya maamuzi sahihi